OGTV JF-Expert Member May 22, 2016 353 167 May 30, 2016 #1 Lafudhi ya Dogo janja inaongelewa na kila rika kule Arusha, huyu ni Mama wa Kichaga anaongea kama dogo Janja. Rafudhi Hii Inawavutia Wengi Sana Nchini Tanzania.
Lafudhi ya Dogo janja inaongelewa na kila rika kule Arusha, huyu ni Mama wa Kichaga anaongea kama dogo Janja. Rafudhi Hii Inawavutia Wengi Sana Nchini Tanzania.
mbinde JF-Expert Member Mar 12, 2015 801 649 May 30, 2016 #3 Baada ya hapo ipi ni faida Na hasara kwa uma.
Ndebile JF-Expert Member Sep 14, 2011 7,237 9,871 May 30, 2016 #4 siku hizi ukiongea kwa lafudhi ya kisukuma hasa kama wewe ni mwanaume inalipa sana, lol!
OGTV JF-Expert Member May 22, 2016 353 167 May 30, 2016 Thread starter #5 Malcolm05 said: Kwahiyo? Click to expand... ni vizuri ukijua JF-expert member-Malcom05