Mama wa kambo hawezi kuwa MAMA

Mama wa kambo hawezi kuwa MAMA

Joined
Jul 30, 2025
Posts
97
Reaction score
324
Ndugu zangu watanzania,

Mama ni mama lakini si mama wakambo mana mama wa kambo yupo kwa ajili ya maslahi ya wanawe na ndugu zake wakalibu lakini ni nadra mama wa kambo kujali watoto wa mumewe ikiwa mumewe hayupo hai

Nilijitahidi kumtetea mama wa kambo nyumbani na kuwa ambia ndugu zangu kuwa mama yetu ni mzuli na ni mpole na ana mapenzi na sisi ingali baba katuacha na kutangulia mbele za haki na kutuacha katika malezi ya mama na umiliki wa mama

Mama yetu kipenzi wa kambo alianza kuuza mashamba yetu tuliyo kuwa tukilima na baba pamoja na familia yetu kwa ujumla pia mashamba yetu Yale ndo yalikua tegemezi kwetu lakini mama yule wa kambo aliuzia watu wa kwao bila kujali sisi tutaishije

Licha ya kuuza mashamba yetu bado aliendelea kuuza viwanja vyetu vya urithi tuliolisishwa na baba kwa ndgu zake huku SI tukikosa mahali oakujenga na familia zetu

Licha ya haya yote mi niliendelea kuwa upande wake na kumtetea huku akiwa kaniahidi nami nitakuwa mnufaika wa Kodi za jengo letu pale sokoni nami nikiwa na furaha na kuwasaliti ndugu zangu wa damu kwa kumpenda mama wa kuja na kuwaacha ndugu zangu wakilia kwenye Lindi la umaskini huku mama wa kambo na nduguze wakiogelea minoti toka kwenye mauzo ya mashamba yetu, viwanja vyetu na Kodi ya jengo letu

Lakini Leo hii katika mgao wa watakao simamia pango la jengo letu na kula mema ya Kodi la pango mi simo mama wa kambo kaleta nduguze eti ndo waje watusimamie nami nimepigwa chini katika kusimamia Kodi ya pango letu na alikuwa ameniahidi kuwa nami nitakuwa mmoja wa wala mema wa Kodi

1754327275790.jpg

Leo hii ndugu zangu NIMEBUBUJIKWA NA MACHOZI YA HUZUNI na kujutia usaliti kwa familia yangu na nawaomba msamaha ndugu zanguni wote nilio wakosea naombeni mnisamehe sana ndugu yenu ni NJAA tu ndo zilifanya niwasaliti
 
Tetetehhhhhh KILA MTU apambane na HALI yake mama WA kambo Hana SHIDA, anatufaa sana. Tulipo Lia mlicheka Leo mna Lia nasi TULIE nani KASEMA .mitano na NUSU kwa mama ,🙏🙏🙏🙏🙏🙏🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🔥🔥🔥🔥🤣

Kwishaaaaa
 
Hivi huyu Lucas ni yule original wa kutiririkwa na machozi au huyu feki?
 
Tetetehhhhhh KILA MTU apambane na HALI yake mama WA kambo Hana SHIDA, anatufaa sana. Tulipo Lia mlicheka Leo mna Lia nasi TULIE nani KASEMA .mitano na NUSU kwa mama ,🙏🙏🙏🙏🙏🙏🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🔥🔥🔥🔥🤣

Kwishaaaaa
Kumbe ni mambo yenu ya code,mi nikajua kweli mama wa kambo🤓🤓🤓🤓
 
Twambie umeshiriki mara ngapi kuwadhulumu wengine haki yao ya kuishi.
Inaonesha umeonja ubaya wanaofanyiwa wengine.

Mwisho wa ubaya ni aibu.
 
Uongozi wa JF hii sio sawa, hii ni violation ya forum contributors Lucas Mwashambwa uwe unakubaliana nae au la. Vyovyote vile amejitengenezea brand na audience yake.

Kuacha watu watengeneze ID zinazofana na wachangiaji ambao wameshajijengea popularity for cheap shots, huku ni ku-entertain mambo ya kitoto to say the least.
 
Pole sana.

Tanganyika itajengwa na watanganyika wenyewe.

Saa ya ukombozi ni sasa.
 
Tutamchagua aendelee kutuongezea mishahara na kuweka mazingira mazur ya uwekezaji
OCTOBER TUNATIKI ✅
 
Tabia za mama wa kambo hubadilka kulingana na aina ya watoto alioachiwa kwahyo kama ulimuonesha kiburi tulia akunyooshe
Msaliti wewe
 
Uongozi wa JF hii sio sawa, ni violation ya forum contributors Lucas Mwashambwa uwe unakubaliana nae au la. Vyovyote vile amejitengenezea brand na audience yake.

Kuacha watu watengeneze ID zinazofana na wachangiaji ambao wameshajijengea popularity for cheap shots, huku ni ku-entertain mambo ya kitoto to say the least.
Nimeshalalamika sana na kulaani sana kitendo hiki kilichofanyika lakini nashangaa imekuwaje jukwaa hili wanashindwa kuona kuwa hiyo siyo sawa. Kwa hakika imenisikitisha sana na kulishangaa sana jukwaa hili. Sikuwahi kufikiria kama jukwaa hili na uongozi wake unaweza kuacha jambo kama hili kufanyika na kuendelea kuangalia tu kuendelea kutendeka.
 
Na ishitoshe umebubujikwa na machozi na kugalagala mavumbini lkn still hawako Tyr kukusaidia
 
Nimeshalalamika sana na kulaani sana kitendo hiki kilichofanyika lakini nashangaa imekuwaje jukwaa hili wanashindwa kuona kuwa hiyo siyo sawa. Kwa hakika imenisikitisha sana na kulishangaa sana jukwaa hili. Sikuwahi kufikiria kama jukwaa hili na uongozi wake unaweza kuacha jambo kama hili kufanyika na kuendelea kuangalia tu kuendelea kutendeka.
Umesikitika Sana na kububujikwa na machozi
 
Majina ya kina Lucas wanakuwaga wembamba sana alafu walafi sana
 
Back
Top Bottom