mbalizi1 JF-Expert Member Joined Dec 16, 2015 Posts 22,940 Reaction score 46,084 Jun 4, 2018 #21 NAHUJA said: Jamani mama, mama ni mtamu kwa kweli. RIP mama yake NAHUJA Click to expand... Mama ni mama hakika
NAHUJA said: Jamani mama, mama ni mtamu kwa kweli. RIP mama yake NAHUJA Click to expand... Mama ni mama hakika
N NAKWEDE JF-Expert Member Joined Aug 1, 2007 Posts 27,962 Reaction score 35,215 Jun 4, 2018 #22 mbalizi1 said: Mama ni mama hakika Click to expand... Nimesha miss neno "shikamoo mama"
mbalizi1 JF-Expert Member Joined Dec 16, 2015 Posts 22,940 Reaction score 46,084 Jun 4, 2018 #23 NAHUJA said: Nimesha miss neno "shikamoo mama" Click to expand... Ya duniani hayo hayakwepeki
mjumbe wa bwana JF-Expert Member Joined Sep 19, 2016 Posts 5,288 Reaction score 6,191 Jun 4, 2018 #24 mkuu mzazi anakunyonyesha zaidi ya mwaka ila hujawai mnunulia hata simu ila demu anakunyonyesha masaa machache hadi password za bank unampa
mkuu mzazi anakunyonyesha zaidi ya mwaka ila hujawai mnunulia hata simu ila demu anakunyonyesha masaa machache hadi password za bank unampa
mapipando JF-Expert Member Joined Jun 8, 2015 Posts 2,922 Reaction score 3,564 Jun 7, 2018 #25 NAHUJA said: Jamani mama, mama ni mtamu kwa kweli. RIP mama yake NAHUJA Click to expand... Pole mkuu. Mkuu umejifungua na mtoto ndio kakua haraka hivyo?
NAHUJA said: Jamani mama, mama ni mtamu kwa kweli. RIP mama yake NAHUJA Click to expand... Pole mkuu. Mkuu umejifungua na mtoto ndio kakua haraka hivyo?
Pancras Suday JF-Expert Member Joined Jun 24, 2011 Posts 8,143 Reaction score 3,848 Jun 7, 2018 #26 Ha ha ha ha ha haaaaah eti mama vs mshenzi