Na wengi wetu ndio hapo tunapopotea(ga).Hahaaaa. Kweli kabisa na hapo inatumwa fasta ya kutolea.
Ila ndio hivyo siku zote Mzazi ana vitu vya kipekee kimoja wapo ni kuridhika hata kwa kidogo apewacho.
Hahaaaa. Kweli kabisa na hapo inatumwa fasta ya kutolea.
Ila ndio hivyo siku zote Mzazi ana vitu vya kipekee kimoja wapo ni kuridhika hata kwa kidogo apewacho.
Mzaz ni Mzaz dah Mungu awabariki wazaz woteHahaaaa. Kweli kabisa na hapo inatumwa fasta ya kutolea.
Ila ndio hivyo siku zote Mzazi ana vitu vya kipekee kimoja wapo ni kuridhika hata kwa kidogo apewacho.
Mzazi haombi hata siku moja
Ila pepo (kama una imani)
Ipo chini ya miguu yake.
Itafute sana lakini kwa uzinzi baraka zote zinapukutika hata kama unazo ngapi
Hahaa. Na mwisho wa siku kwa yale Mapenzi yaliyopo kwake unahisi pasi kumpa ya kutolea huenda akakasirika. Duuh.Na wengi wetu ndio hapo tunapopotea(ga).
Unamtumia mtu kiasi kikubwa cha pesa badala ashukuru ndio kwaanza analalamika ndogo, shubaaaaamit
Yaani. Acha tu rafiki. Penzi ni kitu kingine bana.Aaaaaaaaah. Lazma itumwe tena faaaaasta mwaya. Chezea penzi jmn. Penzi lina nguvu ya ajabu my dear. Acha tu mamiiii.
Ni kweli unachosema mamitto. Mama ana upendo wa hali zote kwa mwanawe iwe ana kitu au hana kitu mom atakupenda katika hali yoyote ile tofauti na mpenzi mwaya.
Amiin Insha Allah. Awabariki kila uchwao.Mzaz ni Mzaz dah Mungu awabariki wazaz wote
Chaa ajabu watu wanatumia gharama nyingi kwa wapenzi/mahawara/milupo kuliko kwa wazazi,mzazi zawadi kwa mwaka mara moja,ila demu deile shoping na miamala.
Mbali na kukasirika unawaza nisipomtumia kibuti kinaweza kunihusu mara mzee fasta unatuma elfu kumi ya kutolea badala ya buku mbili loh.Hahaa. Na mwisho wa siku kwa yale Mapenzi yaliyopo kwake unahisi pasi kumpa ya kutolea huenda akakasirika. Duuh.
Hahahaaa. Ama kweli mapenzi yana nguvu ya kipekee Mkuu.Mbali na kukasirika unawaza nisipomtumia kibuti kinaweza kunihusu mara mzee fasta unatuma elfu kumi ya kutolea badala ya buku mbili loh.