Mama V unanitafutia nini....?

zubedayo_mchuzi

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2011
Posts
4,873
Reaction score
1,221
Habari zenu Wana C.C,habari ya kijijini huku.
Huyu Mama V ambae ni Mke wa kigogo mmoja humu ndani amekuwa akinitafuta sana.Namuliza ananitafutia nini Sitaki ugomvi Kibabu chake.Naomba kutoa hoja...
Cc
Baba V.
 
Angalia ucje ukamsabishia baba V ban' hahah maana huaga acheleweshi!
 
Habari zenu Wana C.C,habari ya kijijini huku.
Huyu Mama V ambae ni Mke wa kigogo mmoja humu ndani amekuwa akinitafuta sana.Namuliza ananitafutia nini Sitaki ugomvi Kibabu chake.Naomba kutoa hoja...
Cc
Baba V.

Naona unatafuta hela ya sikukuu kwa nguvu, vipigo vyangu mimi hata hiyo hela ya fidia nitakayokulipa utaogopa kuipokea, Nakutazama tu bwan mdogo.
 

Nishamwekea stahili yake huyo dogo,,, mtasikia majibu. tatizo ana stress anadhani mimi ndo niliyempora Arabela kumbe motto wa watu alikimbia mateso. Arabela ndo wa kumtembeza toka posta hadi Kimaarra bonyokwa kwa mguu kweli, huyu mchuzi hayuko vizuri kichwani
 
Last edited by a moderator:

Daaaadyyy!!
 
Last edited by a moderator:

hahahahah una mikwara
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…