Ndugu wan
Jf.nawasalimu nyote.Kwa kuchangia tu kwenye maada hii,mm binafsi
ningeomba mtoa maada alipoleta maada angeikamilisha vizuri kwa
kubainisha ni zahanati zipi na vijiji gani vinavyomtafuta
mh.prof.tibaijuka.Kwanza kasema Mama Tibaijuka anatafutwa jimboni,kule
vijijini Muleba,angebainisha vijiji vile kwa majina ni vijiji gani
M.T.hajawahai kuvitembelea.Kwa faida ya wengi Takwimu zinaonyesha kuwa
Wilaya ya Muleba inavyo vijiji 167,ambapo kwa jimbo la Muleba
Kusini,onavyo vojiji 112,kati ya 167.Ni Ukweli usiopingika kuwa
M.T.amekuwa akifanya mikutano kwenye Kata yaan Makao makuu ya kata zote
25.za Jimbo zima.Ukweli wenyewe sio rahisi kuvifikia vijiji vyote kwan
hata wakati wa kampeni mikitano ya Wabunge hufanyika Makao makuu ya
kata. Pili Ndugu yangu mleta
maada,anaposema zahanati hazina madawa,ingekuwa vema akabainisha pia ni
zahanati zipi kwa majina.Ninavyojua wakati
Mh.Prof.Tibajuka,amekuja,11.june.2013,kwa Ndege ya Serikali,alitembelea
hospitali zote za Wilaya ya Muleba pamoja na zahanati lakini tatizo la
madawa halikusikika kwa wananchi.Hospitali zilizotembelewa ni pamoja na
Hosp.Teule ya Wilaya (Rubya hospital),Kagondo hispitalna Ndolage
Hospital.Kwa upande wa zahanati,alifika Kaigara iliyopo Muleba
Mjini,Kimeya Tarafa ya Kimwani,Rwantege tarafa ya Nshamba.Wagonjwa
wenyewe ndio walikuwa shahidi kwa vinywa vyao kuwa Madawa yalikuwepo ya
kutosha. Kama hiyo haitoshi,ni Juzi Mh.T.wakati wa Ziara ya Raisi
alitembelea wananchi wa Rulanda ambao wanajenga zahanat na Mh.Raisi
akawachangia Milion.3,akawambia kuwa atampa Mbunge wenu
azilete.Hivyohivyo Kasindaga kata ya Kyebitembe wanajenga Zahanati,Raisi
alichangia Mil.2.Habari njema zaidi Kasindaga Halmashauri wanaendelea
na ujenzi wa zahanati ile kwa 26.Milioni.Kote huko hakuna mahali walilia
madawa.Ndo nasema hivi huyu mleta maada ingekuwa vema akabainisha ni
vijiji gani na zahanati gani walipolalamikia upungufu wa madawa?,Nasema
hivyo Mh.Tibaijuka ametoka Muleba Jimboni na Mh.Raisi hilo tatizo hakuna
mahali lilipotajwa.Ni vema mtandao huu ukatumika kusema ukweli,kwani
itaweza kuisaidia kufuatilia na kutafuta ufumbuzi wa tatizo kama habari
ni ya kweli.Lakini ieleweke pia hata kusema Uongo ni ufisadi. *
Kwa nyongeza pale Kata ya
Biirabo,kuna mradi wa ujenzi wa Zahanati chini ya Halmashauri ambapo
Mh.Tibaijuka alichangia bati zote,lakini Halmashauri wakaamua kumalizia
kila kitu,mpaka sasa imeishaezkwa.Kule Buhangaza hivyohivyo.
* kuhusu
hoja ya bus stand hii imejengwa tangu 2003,kutoka eneo ilipokua
zamani.mpaka sasa standi hii ipo na imekamilika mabasi makubwa na madogo
yanatua,pale bila tatizo,huduma za msingi zipo zote maduka ya uhakika
na vyoo vya uhakika vimejengwa pale.kwa kufanya ulinganisho na standi
zote zilizo katika mkoa wa kagera wala huwezi amini hoja yako,mtoa
maada. * kitu muhimu
kinachopaswa kueleweka kwa watu wote na hasa wale wanaopost news,kwenye
mtandao wetu mtukufu,tujaribu kuheshimu usomi wetu,ambapo kusema ukweli
ni zaidi ya yote. Mwisho
ningeomba kama inawezekana tunapokuwa na thread nzuri na zenye uhakika
basi tujitahidi kuzitoa kwa kuweka wazi majina yetu wazi na sio yale ya
bandia,na niombe samahani kwa punctuation kwani niko vijijin na natumia
blackbery,mniwie radhu kwa hilo. Denis,
ktb/m.tibaijuka muleba.
Ndugu yangu sio raisi kujipanga kuchukua jimbo kwa kusema uongo.Ushauri jaribu kujipanga,vizuri kwa mikakati,kwan yule Mama sio Jembe tu bali ni Nyundo pia.Utashindwa mtihani hata kabla hujaanza.
we ni mwongo kabisa,madai ya wananchi ni ya msingi vituo vya afya havina madawa,mf.mdogo ni kituo cha afya kimeya ni miezi 9 sasa hakuna dawa wananchi wanapata huduma pale runazi kwenye pharmacy binafsi ya diwani wa chadema.

Ndugu Msanii,Ujumbe wako tumeupata,lakini Mm niyaendika mpaka sasa nipo jimboni Muleba.Hata M.Tibaijuka ametoka huku,ni wiki moja imepita tu.Swala la Afya linajulikana na hivi majuzi,Mh.Tibaijuka amekamilisha mpango wa kuanzisha Bohari kuu ya kusambaza dawa kwa Mikoa ya Geita,na Kagera,ambyo itajengwa Muleba.MSD.Kanda ya ziwa wanataka kupanua wigo wa kusambaza madawa mpaka vijijin.17.july,2013,wamekagua eneo la Malahara ambapo kwa kuanzia watakuwa wanatumia Jengo la hospitali ya Wilaya,wakati wanaendelea na ujenzi wa majengo yao palepale malahara.Lengo kubwa ni harakati za kutatua kero mbalimbali katila sekta hii ya Afya.Kwahyo sio kweli kuwa watu hawajasikilizwa.Muhimu ndugu msanii utanielewa na sio kama mchangiaji mmoja ananiambia kuwa haya ni maneno ya kwenye Kanga,alafu eti anataka kuchukua jimbo.Je tutafika?

Mama Tibaijuka anatafutwa na wapiga kura wake wa Jimbo la Muleba,leo asbui kwenye kipindi cha Super Mix baadhi ya wapiga kura wake ambao walikua wakihojiwa na Kituo cha redio cha East Africa walisema kuwa tangu wamchague mbunge wao kuna maeneo hajapita kabisa,hasa maeneo ya vijijini,wanadai amewasahau na amehamia Dar es Salaam huku akionesha hana mpango nao.
Wapiga kura wa Mama Tibaijuka wakaenda mbali zaid na kusema,huduma muhim kama vile dawa kwenye zahanat wanakosa,ingawa wanaona magar yanashusha dawa lakin waendapo hospitalini au kwenye vituo vya afya husishia kuambiwa wakanunue kwani dawa hakuna.
Kuna mpiga kura wake mmoja alisema kuwa wakunga wanapata tabu sana kuwazalisha wake zao maana hata gloves hakuna,wao wanasema wanamhitaj mama Tibaijuka aende akawatembelee hasa huko vijijin ili wamueleze kero zao na azifanyie kazi,pia walilalamika kuwa hawashirikishwi kwenye kubuni miradi....
Hata hivyo mtangazaji alisema alipompigia sim mama Tibaijuka,simu haikupokelewa,sasa mimi kwakua niliisikia hii via redio nimeona bora niilete hapa,maana najua mama Tibaijuka ni memba wa JF kwa siku za karibuni.
Kwa sababu nilimskia Mtangazaji Zembwela akisema 'MAMA TIBAIJUKA POPOTE ULIPO KAMA UNATUSIKIA TUNAOMBA UJIBU HOJA ZA WAPIGA KURA WAKO.'
NAWASILISHA
EID NJEMA WADAU
Mama wizara imemshinda, she is too good for nothing kwa kweli
Katika mchakato wa kutengeneza Katiba Mpya, nimesoma na kusikia mara nyingi hii hoja ya Waziri kutokuwa Mbunge ikiungwa mkono pia na Mama Anna Tibaijukanadhan kuna haja ya kuachana na uwaziri unapokua mbunge
Ndugu Msanii,Ujumbe wako tumeupata,lakini Mm niyaendika mpaka sasa nipo jimboni Muleba.Hata M.Tibaijuka ametoka huku,ni wiki moja imepita tu.Swala la Afya linajulikana na hivi majuzi,Mh.Tibaijuka amekamilisha mpango wa kuanzisha Bohari kuu ya kusambaza dawa kwa Mikoa ya Geita,na Kagera,ambyo itajengwa Muleba.MSD.Kanda ya ziwa wanataka kupanua wigo wa kusambaza madawa mpaka vijijin.17.july,2013,wamekagua eneo la Malahara ambapo kwa kuanzia watakuwa wanatumia Jengo la hospitali ya Wilaya,wakati wanaendelea na ujenzi wa majengo yao palepale malahara.Lengo kubwa ni harakati za kutatua kero mbalimbali katila sekta hii ya Afya.Kwahyo sio kweli kuwa watu hawajasikilizwa.Muhimu ndugu msanii utanielewa na sio kama mchangiaji mmoja ananiambia kuwa haya ni maneno ya kwenye Kanga,alafu eti anataka kuchukua jimbo.Je tutafika?
Kwani Ana Tibaijuka ni wa viti maalum?
Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
ulianza vizuri sana,ila ulipoendelea ulikua unaropoka,mama tibaijuka alikod ndege kwa mbwembwe tu kujifanya anataka kuwasiliana na wapiga kura wake,jana wamemvua nguo wanalalamika,sasa unaanza kuwaambia watu wanalitaka jimbo,unadhan kila mtu wanasiasa???
Katika mchakato wa kutengeneza Katiba Mpya, nimesoma na kusikia mara nyingi hii hoja ya Waziri kutokuwa Mbunge ikiungwa mkono pia na Mama Anna Tibaijuka