Ashura9
JF-Expert Member
- Oct 21, 2012
- 740
- 485
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tarime/Rorya, Gemini Mushi amemzawadia pesa taslimu kiasi cha shilingi laki 5 (Tsh 500,000) Sophia Manguye mkazi wa Sirari wilayani Tarime mkoani Mara kwa ushujaa wake wa kupambana na Majambazi na kufanikiwa kuwanyang'anya silaha aina ya SMG. SHARE na marafiki
Chanzo EATV
Chanzo EATV