Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 28,877
- 37,676
Mh. Beatrice Shellukindo amepelekwa Bungeni na wananchi wa Kilindi na siyo CCM. Waliopelekwa Bungeni na CCM ni kama Zakhia Meghi, James Mbatia, Easter Bulaya, Wanawake na Maendeleo (jina limenitika) na wengineo
Kitendo cha Mama shelukindo kusifia wapinzani bungeni na kukosea heshima chama kilichompeleka bungeni, hivyo anastahili kutimuliwa sio siri hawa ndio wale waasi tulionao ndani ya chama

shibuda je?neno la mungu linasema utaijua kweli nayo kweli itakuweka huru.
Ukweli siku zote unauma...Kikwete dhaifu, Pinda dhaifu na Serikali fisadi dhaifu
Kitendo cha Mama shelukindo kusifia wapinzani bungeni na kukosea heshima chama kilichompeleka bungeni, hivyo anastahili kutimuliwa sio siri hawa ndio wale waasi tulionao ndani ya chama
Zidumu fikra dhaifu za kikwete. zidumuNdo maana chama chenu kinazidi kudidimia kwa sababu ya kukumbatia uongo na majungu,mama Shelukindo hawajibiki kwa chama,anawajibika kwa watanzania waliompa dhamana,hataki kuwa mmoja wa wachafu,hana udhaifu na upuuzi wa ki CCM! yatawabana sana magamba hayo!