Ertugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 13,007
- 25,679
Kwamba physical formation anafanana na nyaaa.Tofauti yako na kinyesi ni rangi tuu....
Kama kuna sekta niko vizur basi ni emotional inteligency,,,,huwezi kunikwaza hata siku moja kwakuwa huwa siruhusu kuumia ,,,hakuna mwenye mamlaka ya kuniumiza isipokuwa nikubali mwenyewe kuumiaNaona umeamua kuyatafuta Matusi na utayapata ngoja waje.
Toa mada kamili huko nje wapi?Akiongea na waandishi wa habari katika kongamano la vyombo vya habari alisema "huko nje watu wanaisifia sana Tanzania lakini huku ndani tunasema vibaya kuhusu jitihada mbali mbali za serikali" mwisho wa kunuu
Na hii ndio hali ambayo tunayo sasa baada ya hawa vichaa wa gen z huko Kenya kuonekana mashujaa machoni mwa watanzani wenzetu
Sasa tunaitana wapumbavu na wajinga kisa tu hao wapuuzi wa gen z kuandamana na kuharibu usalama wa nchi yao
Hivi vurugu kwenu ndio ujanja au ushujaa? Kuharibu mali na kuhatarisha amani ya nchi ndio kuelimika?
Wenye akili wanasema hivi "siku zote hakikisha unahimarisha your communication skills kwasababu yale utakayo yazungumza yanaonyesha ulimwengu wewe ni mtu wa namna gani"?
Kupitia nyuzi mbali mbali na comment mbali mbali za wale wanao sapoti hicho kizazi cha kipuuzi wanaonyesha ulimwengu jinsi walivyo wapuuzi.
Gracias
Ni hayo tu!
Mkuu nenda pale Kenya kawaambie hao Gene z wapuuzi. Kwa upuuzi utarudi huna marinda nakuhakikishiaAkiongea na waandishi wa habari katika kongamano la vyombo vya habari alisema "huko nje watu wanaisifia sana Tanzania lakini huku ndani tunasema vibaya kuhusu jitihada mbali mbali za serikali" mwisho wa kunuu
Na hii ndio hali ambayo tunayo sasa baada ya hawa vichaa wa gen z huko Kenya kuonekana mashujaa machoni mwa watanzani wenzetu
Sasa tunaitana wapumbavu na wajinga kisa tu hao wapuuzi wa gen z kuandamana na kuharibu usalama wa nchi yao
Hivi vurugu kwenu ndio ujanja au ushujaa? Kuharibu mali na kuhatarisha amani ya nchi ndio kuelimika?
Wenye akili wanasema hivi "siku zote hakikisha unahimarisha your communication skills kwasababu yale utakayo yazungumza yanaonyesha ulimwengu wewe ni mtu wa namna gani"?
Kupitia nyuzi mbali mbali na comment mbali mbali za wale wanao sapoti hicho kizazi cha kipuuzi wanaonyesha ulimwengu jinsi walivyo wapuuzi.
Gracias
Ni hayo tu!
Taarifa za CHAWA zinampotosha!! Hali ni mbaya mbaya sanaAkiongea na waandishi wa habari katika kongamano la vyombo vya habari alisema "huko nje watu wanaisifia sana Tanzania lakini huku ndani tunasema vibaya kuhusu jitihada mbali mbali za serikali" mwisho wa kunuu
Na hii ndio hali ambayo tunayo sasa baada ya hawa vichaa wa gen z huko Kenya kuonekana mashujaa machoni mwa watanzani wenzetu
Sasa tunaitana wapumbavu na wajinga kisa tu hao wapuuzi wa gen z kuandamana na kuharibu usalama wa nchi yao
Hivi vurugu kwenu ndio ujanja au ushujaa? Kuharibu mali na kuhatarisha amani ya nchi ndio kuelimika?
Wenye akili wanasema hivi "siku zote hakikisha unahimarisha your communication skills kwasababu yale utakayo yazungumza yanaonyesha ulimwengu wewe ni mtu wa namna gani"?
Kupitia nyuzi mbali mbali na comment mbali mbali za wale wanao sapoti hicho kizazi cha kipuuzi wanaonyesha ulimwengu jinsi walivyo wapuuzi.
Gracias
Ni hayo tu!
Kwakweli hata rangi ya kinyesi anayoTofauti yako na kinyesi ni rangi tuu....
Unafikiri Tanzania ni kisiwa kisichofikika na hao unaodhani hawajui Tanzania?Hao wa nje Hawaishi Humu Tanzania Sisi Tunaoishi bongo Tunamjua Hali halisi ilivyo Hao wa nje Hawana Wanalojua
So, the levels of unemployment in Kenya are incredibly high. The levels of poverty are rising. The number of households that go without a meal a day are rising every day. And so the situation is really quite sensitive in terms of the economic outlook, so that this new rash of taxes that were to be introduced in the finance bill felt like a step too far for a lot of Kenyans. And especially for young Kenyans who have gone to school and are sitting at home without jobs, this was a — they became incredibly engaged in the political process because of this particular situation.Mbona rafiki yako Zakayo amesalimu amri kwa hao unaowaita wapuuzi?