Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,474
- 7,414
Weke ibara inayosema hivyo.Inatakiwa iwe baada ya masaa 24 tangu tangazo lá kifo. Amri Jeshi mkuu ndio huongoza mazishi ya aliyekuwa Amri Jeshi mkuu.
Kila wakati anatakiwa kuwa mmoja tuu. Kesho tunaweza kuwa na Rais Mpya.
Hawa watu ndiyo wamesababisha Magufuli afe. Wapambe chumia tumbo. Miluzi mingi hupoteza mbwa. Hat alipokosea walikuwa wanasifu. Mtu ukisema covid inaua wanakuuliza una ndugu yako kafa?Jikite Kwenye Mada, kutoka kumtetea Jiwe kwamba yuko fit mpaka kuja kuhamisha magoli.
Wanataka ndio awe Mwenyekiti wao wa chama baada ya MboweHahahaaa! Eti kwa mujibu wa Kigogo.
Yaani Kigogo sasa hivi ndo kawa chanzo cha kuaminika cha habari!
Kigogo na Chahali. Kusema kweli wamefanya kazi nzuri sana. Hasa Chahali alikuwa anatoa habari za uhakika. Nadhani alikuwa na watu inside the system ambao walikuwa wanampa habari kwa sababu maalum. Zamani nilikuwa namwona kama mropokaji lakini nitakuwa namwamini kwa vingi sasa hivi.Hahahaaa! Eti kwa mujibu wa Kigogo.
Yaani Kigogo sasa hivi ndo kawa chanzo cha kuaminika cha habari!
Sasa ulicho comment hapa Kina husiana nini na hii thread?Hata kama moderator mumefuta replay yangu nachojaribu ni kuwambia watu kwamba Tundu hatokuja kuwa raisi hata baada ya 2025 kosa langu liko wapi hapo ?
Sijatukana mtu ila natoa taarifa tuu
Ndio hata kuja kuwa raisi mfahamu hilo
Ingekuwa akili ni kiungo cha uzazi, wewe ungekuwa huzaiKwani wewe humjui Tundu ?
Acha kumaanisha matusi mkuu
Nimesema sababu Kuna watu ndilo wanalotegema hilo
Anaapishwa baada ya taratibu za mazishi kuisha siunajua huu msiba ni mkubwa watu weng wakubwa wataudhuria hivyo itachukua mda kidgo
Ndani ya siku saba sio baada ya siku 7Si wamesema baada ya siku saba na tayari speaker kisha waita Wabunge waende Dodoma na kesho kutwa ccm wanakaa na kuchagua jina la makamu ...
[emoji106][emoji106]Hawa watu ndiyo wamesababisha Magufuli afe. Wapambe chumia tumbo. Miluzi mingi hupoteza mbwa. Hat alipokosea walikuwa wanasifu. Mtu ukisema covid inaua wanakuuliza una ndugu yako kafa?
Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania haitoi muda mahsusi wa kumuapisha makamu wa Rais kuwa Rais mkuu ingawa tunatarajia watafanya hilo jambo kwa muda muafaka.Ni baada ya muda gani ndo makamu wa Rais anaapishwa kuwa Rais baada ya Rais aliyepo madarakani kufa au kujiuzuru?
Bado ni mkamu wa Rais kwa sababu hajaapishwa mkuu kwa mujibu wa ibara ya 37(5) ya KJMT.Mama Samia bado ni makamu wa Rais kwa sasa au keshakaimu urais tayari?
Kukaimu majukumu ya Rais hakumfanyi kuwa Rais mkuu. Hivyo bado atatambulika kama VP mpaka atakapoapishwa.Kama ameshakaimu urais, rasmi anatambulikaje? Kaimu Rais hadi pale atakapoapishwa rasmi au?
Maswali ni mengi mno!
The 25th amandmentWeke ibara inayosema hivyo.
MATAGA mmebakia kuwaya waya tu,safari hii kanda ya ziwa ni zamu yenu kuvumiliaNi baada ya muda gani ndo makamu wa Rais anaapishwa kuwa Rais baada ya Rais aliyepo madarakani kufa au kujiuzuru?
Mama Samia bado ni makamu wa Rais kwa sasa au keshakaimu urais tayari?
Kama ameshakaimu urais, rasmi anatambulikaje? Kaimu Rais hadi pale atakapoapishwa rasmi au?
Maswali ni mengi mno!
Kanda ya ziwa mtasubiri sanaTundu tena?
What’s with this fixation about him?
Kigogo anabahatisha, chahali nimemkubali kwa kuwa tokea mwanzo alisema raisi hayupo Nairobi Wala India yupo hapahapa dar.Kigogo na Chahali. Kusema kweli wamefanya kazi nzuri sana. Hasa Chahali alikuwa anatoa habari za uhakika. Nadhani alikuwa na watu inside the system ambao walikuwa wanampa habari kwa sababu maalum. Zamani nilikuwa namwona kama mropokaji lakini nitakuwa namwamini kwa vingi sasa hivi.
Hivi una akili timamu kweli wewe?Kanda ya ziwa mtasubiri sana
Wengine mlifikia kumsifia kwa mitazamo yake ya kihafidhina dhidi ya CORONA?.mkampa mpaka sifa za kimungu . Kiko wapiNdani ya siku hizi saba
Wewe ni nani hadi ujiapize?Hata kama moderator mumefuta replay yangu nachojaribu ni kuwambia watu kwamba Tundu hatokuja kuwa raisi hata baada ya 2025 kosa langu liko wapi hapo ?
Sijatukana mtu ila natoa taarifa tuu
Ndio hata kuja kuwa raisi mfahamu hilo
Kawaulize kwenuMazishi ni lini?
Hayo MATAGA ni sawa na kuku wa kizungu tu hayana akili.Jikite Kwenye Mada, kutoka kumtetea Jiwe kwamba yuko fit mpaka kuja kuhamisha magoli.
Anaizidi tiibiisiii yenuHahahaaa! Eti kwa mujibu wa Kigogo.
Yaani Kigogo sasa hivi ndo kawa chanzo cha kuaminika cha habari!