Tuko
JF-Expert Member
- Jul 29, 2010
- 11,180
- 7,354
Kweli Tuko nimechapia du! kuna mtu alikuwa ananiongelesha "You might be correct" sasa waweza zi-recycle tena ili tuupate ukweli
Hizi hapa boss
Habari ya tarehe 25 August, 2015. Ipo sehemu nyingi mitandaoni, lakini unaweza pia kuipata hapa
MGOMBEA MWENZA -CCM MAMA SAMIA SULUHU HASSAN AITEKA ROMBO NA VUNJO KWENYE KAMPENI LEO | H@ki Ngowi