Mama Samia aiteka Vunjo

Mama Samia aiteka Vunjo

Maelfu ya wanawake Jimbo la VUNJO wamejitokeza kumpokea Mama Samia, miongoni mwa wanawake hao wengine wanatoka chadema. Aidha wamemtaka katika serikali yake ajitahidi kuhakikisha anaboresha miundo mbinu jimboni hapo swala ambalo limekuwa ni changamoto ya muda mrefu.
DSC_0155.jpg

DSC_0171.jpg


DSC_0182.jpg


DSC_0189.jpg

DSC_0193.jpg

DSC_0195.jpg

DSC_0221.jpg

DSC_0222.jpg

DSC_0234.jpg

DSC_0245.jpg

DSC_0267.jpg

Mama makamu wa raisi katika ubora wako
 
Viva mama samia makamu wa rais tanzania viva magifuli hapa kazi tu
 
Re-cycling?

Hizi picha wiki kadhaa zilizopita
 
Samia oyeee, ccm wamefanya la maana sana kumuweka mgombea mwenza mwanamke kwani huu ni wakat sahihi kw wanawake kupata m2 wa juu wa kuwatetea
 
bado babayao magufuri ;mpk moshi anashinda makufuri
 
Ubora
CCM kuendelea ku campaign Vunjo wanapoteza rasilimali pesa na kubwa zaidi raslimali MUDA!

Muda anao poteza Vunjo angeenda kwenye majimbo ambayo ni toss up kama vile Kyela sababu wakijipanga wanaweza shinda

Vunjo ya Mbatia toka 2011 sasa Mama Samia anaenda kufanya nn hapo jamani?
 
Last edited by a moderator:
"I might be true "?!! Hahaha
Dokta umechapia kingeresa ...lol
 
Vunjo alipita muda sana, admin jamaa anatulisha matango poro
 
"I might be true "?!! Hahaha
Dokta umechapia kingeresa ...lol

Kweli Tuko nimechapia du! kuna mtu alikuwa ananiongelesha "You might be correct" sasa waweza zi-recycle tena ili tuupate ukweli
 
Back
Top Bottom