Mama Samia aiteka Vunjo

Ubora

JF-Expert Member
Sep 27, 2015
664
255
Maelfu ya wanawake Jimbo la VUNJO wamejitokeza kumpokea Mama Samia, miongoni mwa wanawake hao wengine wanatoka chadema. Aidha wamemtaka katika serikali yake ajitahidi kuhakikisha anaboresha miundo mbinu jimboni hapo swala ambalo limekuwa ni changamoto ya muda mrefu.
DSC_0155.jpg

DSC_0171.jpg


DSC_0182.jpg


DSC_0189.jpg

DSC_0193.jpg

DSC_0195.jpg

DSC_0221.jpg

DSC_0222.jpg

DSC_0234.jpg

DSC_0245.jpg

DSC_0267.jpg
 
Picha za zamani picha za zamani picha za zamani picha za zamani picha za zamani
 
Kwani wanawake waliowanachama wa CHADEMA sio Watanzania, aidha, ulijuaje kuwa wanatoka CHADEMA na sio vyama vingine ? Mbona hapo sioni sare za CDM. Na kwa nini Wagombea wengine wanazuiliwa kutembelea hospitali ilihali yeye anaruhusiwa, Timu ya Kampeni ya CCM safari hii inachangia kupunguza kura za Dr. Magufuli. Kama imezuiliwa wagombea kwenda kwenye taasisi za uuma iwe kwa wote ili mwingine asione kama ananyanyaswa kitu ambacho kinaweza kusababisha apigiwe kura za huruma a.ka, Usamaria Mwema.
 
Picha za tarakea rombo acha uongo mleta mada muulize Shirima vizur akuambie vunjo ilivyo yeye ndio mgombea Wa ubunge kama vyunjo ccm ata diwani awapati wameshachoka na ccm
 
Picha za tarakea rombo acha uongo mleta mada muulize Shirima vizur akuambie vunjo ilivyo yeye ndio mgombea Wa ubunge kama vyunjo ccm ata diwani awapati wameshachoka na ccm
Naweza kukuamini tena walisema hiyo hospitali aliyotembelea inaitwa huruma huko rombo
 
Back
Top Bottom