Mama Salma Kikwete na Mikutano yake

bamwaiche

Member
Aug 30, 2011
50
8
Kufanya mikutanno ni jambo zuri sana, hasa anapokutana na wanawake wenzake wa mjini na sio wale wanawake wa katavi wala manyoni wala wale wanawake wakimang'ati kule manyara nao wakaja wakaijua bufee ya Blue Perl Hotel.

Wanawake ambao tukiwa tunaimba kuwa ndio kundi la maskini wa kutupwa hawako hapa ubungo ambapo mkutano unaendelea. Wanawake hawa wana ubaguzi uliokithiri kwani hapa hakuna mwanamke hata mmoja aliyetoka kule naliendele ili kushiriki mkutano huu mahsusi.

Kilichokera ni ulunzi alionao huyu mama yetu utafikiri ameambiwa leo kuna uasi kama ule unaoendelea libya Tanzania sio libya, ulinzi ni mkali mno kiasi kwamba hata amani hakuna.

Aidha kuna adha ya parking na sio kwamba nafasi haitoshi bali ni uegeshaji mbovu ambapo wanawake huwa wanapachika tu magari badala ya kuegesha.
 

nngu007

JF-Expert Member
Aug 2, 2010
15,862
5,781
Siielewi hii habari; na sijui kwanini mod's wameipitisha. Hii sio habari ya kisiasa hata kidogo

ni yako ya moyoni usivyompenda mama kikwete...

It is shocking 2 see bogus topic like this pass through the wall's...
 
0 Reactions
Reply
Top Bottom