Mtandao wa jamii forums wajadiliwa bungeni. Mbunge adai mambo yanayojadiliwa humu ni maudhi. Mbunge ahoji kama serikali ipo tayari kuwabana wanaoandika maneno ya maudhi au uchochezi kwenye mitandao kama hii
wanaomba sheria itungwe ili kuwadhibiti wanao post thread
Magamba wanatafta kila njia kutufumba mdomo. Mama rwaka chunga kondoo achana na jf
Hebu elezea mkuu.......nyundo gani hizo, ili tuzijue kama ni nyundo au upupu!!Jamii Forums yatinga rasmi bungeni! Kupitia Swali la Dr. Rwakatare!.
Hilda Ngoye apiga nyundo za kufa mtu dhidi ya jf!
man, you are not saying anything........what are these 'posho' people saying?Mode change headline ili isomeke
"Jamii Forums Yabalaswa Bungeni, Serikali Yaitetea!. Jf yatambulika rasmi kama chombo cha habari cha kijamii!