Ndio maana ndoa zetu hazidumu unakuta mwanamke ana maamuzi yake na ww mwanaume ya kwako ndani ya nyumba hakukariki
Huyu mama nimetokea kumpenda kama mama yangu mzazi
...Mkuu sina mbavu
Ahsanteeee mama, pipooooooz
- Kugombea Uraisi Sio Suala la Kiroho, Bali ni Suala la Kisiasa.
- Wasafi Wapo Wengi, MAGUFULI Ni Mfano Mzuri.
- Ni Vizuri Kuwa Umetambua Kuwa LOWASSA ni FISADI.
- Kwa Hiyo Tuachane na Huu Mzoga, LOWASSA, Ili Asisogelee Kabisa Ikulu Yetu Takatifu.
Nyie Gambaz mwaka huu km LOWASA hajawatagisha Mayai basi
Gambaz Kuu, LOWASSA, Limehamia UKAWA. CCM Wameteua Mtakatifu.
CHAGUA MAGUFULI ILI TUTOKOMEZE UFISADI PAPA.
- Kugombea Uraisi Sio Suala la Kiroho, Bali ni Suala la Kisiasa.
- Wasafi Wapo Wengi, MAGUFULI Ni Mfano Mzuri.
- Ni Vizuri Kuwa Umetambua Kuwa LOWASSA ni FISADI.
- Kwa Hiyo Tuachane na Huu Mzoga, LOWASSA, Ili Asisogelee Kabisa Ikulu Yetu Takatifu.
Lowassa alipata mke aisee sisi tunakaa na manawake ukiliambia chagua ukawa mtavyobishana utasema hawara yako
Nilidhani nachangia Topic ya Great Thinker kumbe ni mwana mipasho. Jumapili njema.
Mwaka 1989.