Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,417
Mama masolex acheke kwa raha gani??
Kwenda chooni kunaanzia mezani, kitanda kichungu jukwaa litanoga vipi??
Lowassa alipata mke aisee sisi tunakaa na manawake ukiliambia chagua ukawa mtavyobishana utasema hawara yako
Acha tu mkuu, mengine ni majanga.Sema tu kwasababu hatufanyi kampeni za vijembe!
Ila nauhakika mtu ange~zoom nyumbani kwa Magufuli tungeona samaki mwenye mwanya.
Yani First Lady wetu bado yuko ngada kinyama!
Lowassa alipata mke aisee sisi tunakaa na manawake ukiliambia chagua ukawa mtavyobishana utasema hawara yako
Wee unafir﹏(・∀・😉
Mmmmaamaeee...!!!
CCM wote mfu....!!! kazi wizi wa nchi hii tu, mmemaliza nchi na wachina, sasa mwisho wenu, tutawakata magovinda...!!! blalful...!!
Lowassa hata kama angeamua kukaa nyumbani kwake Monduli , Wana mabadiliko wangeendelea kufanya kampeni. Hayo ni maneno yako ya kashfa ambayo mwisho wa siku hayata kuwa yamekusaidia lolote zaidi ya kukuongezea stress kwani watanzania walio wengi wanaendelea kumpenda na kujali utu wake.
Hahaha! Hakuna first lady hapo, maigizo tu ili kuwafanya Wasiojielewa waamini kweli atakuwa.Uso mdogomdogo unajongea...toroka uje tunakupendaaaaa. Nawe umekubali mwaka huu first lady tumepata eeh.
Tukasikiliza kitu gani kigeni kijana. Unachofahamu wewe sio lazima kila Mtanzania akijue. Wewe ndio unae fahamu kwamba Lowassa ni chui ,Hiyo ikusaidie wewe. Sisi wengine tunachofahamu ni kwamba Lowassa ni binadamu kama binadamu wengine. Hakuna mtu aliye mkamilifu duniani.Ndio maana hata wewe hapo unatumia muda mwingi kumnyooshea binadamu wenzio kidole badala ya kujitazama na kujiuliza usahihi ulio nao katika kuzungumzia mtu mwingine umeupata kutoka wapi.Kama Kuna MWANAMAGEUZI Anayefuata Mzoga Kuwa Ndio Umkomboe, Basi Inabidi Ajipeleke Mwenyewe Mirembe Hosp ya Vichaa.
Ukiambiwa Huyo Ni Chui (LOWASSA) na Sio Paka, Ni Vema Ukasikiliza na Kujitahadhari Kuliko Kujaribu Kumchezea Huyo Chui.
Muda wote kucheka mpaka rahaa ila yule mke wa masolex ana nunaa full time
Yule mama amenyanyasika muda mrefu. Anaogopa kushiriki dhambi ya kuwapa rais atakae wanyanyasa watanzania kama anavyonyanyasika yeyeJibu mtalipata tarehe 25, mama Janet sio drama queen au mama mcharuko anajiheshimu, mcha Mungu na low profile. Vile vile still ni mtumishi wa umma na ukiwa mtumishi hutakiwi kujihusisha na siasa na Anaelewa hilo thus y anaingia kidogo. Msiojua ndio mnakaa midomo juu huyu mama Janet anamsupport mumewe asilimia 100 hata Dom alikuwa nae kwenye mtanange. Wakati wakina Lowasa wanahonga mapesa mama Janet alisimama na kumwambia mumewe asitoe hata tsh kumi kama ni kushinda Mungu ndie atakaye amua.... What a great woman indeed??, halafu hadi watoto wao wako hivyo hivyo very decent na low profile so guys msiongee msiyojua
Mgombea gani???,yule anayeruka mapanga jukwaani,kupiga push up,na kupitia juu ya gari kabla halijasimama???maskini mama mbona una watoto wengi wa ajabu hivi!!!Unamjumuisha Hata Yule Mgombea Wenu Urais Bingwa Wa Kutoa Haja Kubwa Majukwaani. Hakika Umama Ni Kazi Sana!
Akija kuukosa u first lady si ajabu hata ndoa itakufa. Ataumia kuliko Mushumbusi. Otherwise she is OK na akiendelea kuwa humble na kuacha kuringia mali za Watanzania atatuwakilisha vizuri.
Tukasikiliza kitu gani kigeni kijana. Unachofahamu wewe sio lazima kila Mtanzania akijue. Wewe ndio unae fahamu kwamba Lowassa ni chui ,Hiyo ikusaidie wewe. Sisi wengine tunachofahamu ni kwamba Lowassa ni binadamu kama binadamu wengine. Hakuna mtu aliye mkamilifu duniani.Ndio maana hata wewe hapo unatumia muda mwingi kumnyooshea binadamu wenzio kidole badala ya kujitazama na kujiuliza usahihi ulio nao katika kuzungumzia mtu mwingine umeupata kutoka wapi.
Mi napenda hilo cheko lake daah lina mpendeza sana,angekua haja olewa na Mr president Lowassa Ninge mtafuta walahi......
asante mkuu.ubarikiwe wewe utakayeishi milele.Mungu hadhihakiwi
- Kugombea Uraisi Sio Suala la Kiroho, Bali ni Suala la Kisiasa.
- Wasafi Wapo Wengi, MAGUFULI Ni Mfano Mzuri.
- Ni Vizuri Kuwa Umetambua Kuwa LOWASSA ni FISADI.
- Kwa Hiyo Tuachane na Huu Mzoga, LOWASSA, Ili Asisogelee Kabisa Ikulu Yetu Takatifu.
Mama dah hana mtoto ni peleke mahari nita toa 1b mama yangu tena nipo radhi nifanyieni connection kama ana binti wakuu atakaye fanikisha nitampa 200m maana nimegundua huyu mama amechangia mzee lowassa kuwa na busara sana bila shaka na mtoto wake atakuwa na uso wa kirafiki kama mama yake na tabia nzuri
asante mkuu.ubarikiwe wewe utakayeishi milele.Mungu hadhihakiwi