kumfafanisha mama maria nyerere na mama regina lowassa ni sawa na kutaka kulazimisha mfanano wa mchezaji nyota wa fc barcelona ya nchini hispania lius suarez na mchezaji mchovu wa yanga fc ya nchini tanzania malimi busungu. Ukome kumfananisha mama yetu mama maria nyerere na huyo komwe na mdomo mpanuko wako.
Bahati mbaya sana akiwa CCM hatukumfahamu vizuri mama huyu, mazingira yalimbana CCM. Ukweli mama huyu amekuwa kivutio kikubwa kwa wanaomfutilia. Tumuombee awe First Lady hapo ndipo atavutia wengi zaidi.
Imetokea kumpenda sana mama Lowassa yuko active sana, na anajua kujichanganya na kila kundi la jamii analokutana nalo. Liwe la vijijini, mjini, wasomi, vijana na wanawake. Ni aina ya mama wa kupigiwa mfano.