Mama Regina Lowassa afanya kufuru Morogoro

Kwa kweli huyu mama ni jembe sana nina kila sababu ya Kuichagua ukawa hakika huyu mama atamuongoza vema mume wake Viva Ukawa
 
Hata Damia Suluhu na malori yake na kampani ya wasanii wao hajawahi kukusanya watu hivi.
 
Nilichokipenda zaidi kwenye huu mkutano waliohuzuria wengi wanaonekana ni WANAWAKE.
Hii ni ishara kuwa ile "mama sema na mwanao ya CCM" imekufa kicho cha mende.

UKAWA na mama yetu Regina Lowassa, CCM na mama yao Wema Sepetu.
 
hapo ndio waweza kutambua kiongozi ni mama......anajua, anaelewa baba yuko katika vita!!!! lowassa anatosha
 
Back
Top Bottom