Mama Regina Lowassa afanya kufuru Morogoro

bila fiesta hapo wala bila malori na sapota ya domo
 
First lady wetu katika ubora wake....

Viva Mamaaaa......

Viva ukawa......

Viva mabadiliko.....
 
Anatabasamu kama malaika kweli Lowassa alichangua mke na sis wapenda mabadiliko tusimwangushe Rais wetu mtarajiwa Lowassa!!
 
Bavicha bhana wamebaki kusifia tuu wake za watu utafikiri uzuri ndio kura...
 
Huwa anakauso fulani hivi amazing, lazima nimpe kura mme wake.
 
Hii habari si nzuri kwa lumumba fc huyu mama ni tishio kwao
 
Yani nikionaga picha ya huyu mama, najikuta natabasamu, sijuagi hata kwanini.
 
Muumba mbingu na nchi huwainua wapole kwa wakati wake na kuwashusha wenye kiburi. Hekima hujitetea yenyewe, ndicho kinachojidhihirisha kwa hii familia.
go Regina goo Lowasa gooo Ukawa and viva Chadema!.
 
Hapa lazima uishiwe pumzi....ni back to back....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…