Mama Polepole: Nirudishieni mwanangu akiwa hai au amekufa, alikuwa mtoto wa kipekee

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,129
BBC imezungumza na mama mzazi wa aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole katika mahojiano maalum.

AnnaMary Polepole amesisitzakatika mahojiano hay kuwa arudishiwe mtoto wake- Humphrey Polepole akiwa hai au amekufa.

Hata hivyo mapema leo, jeshi la polisi lilisema kuwa limeanzisha rasmi uchunguzi wa tuhuma za kutekwa kwa Humphrey Polepole.

Hata hivyo katika taarifa hiyo wameongeza kuwa wanamtafuta ndugu wa Humphrey Polepole, aitwaye Augustino Polepole kuthibitisha tuhuma hizo.

Haya mahojiano ya mama mzazi wa Polepole yataamsha yaliyolala. Yanagusa sana. Kama wanaume wamwachie ama wampandishe kizimbani. Hisia zinaniambia genz watamwonea mama huruma watahamia kumsaidia kumtafuta mwanae
BBC imezungumza na mama mzazi wa aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole katika mahojiano maalum.

AnnaMary Polepole amesisitzakatika mahojiano hay kuwa arudishiwe mtoto wake- Humphrey Polepole akiwa hai au amekufa.

Hata hivyo mapema leo, jeshi la polisi lilisema kuwa limeanzisha rasmi uchunguzi wa tuhuma za kutekwa kwa Humphrey Polepole.

Hata hivyo katika taarifa hiyo wameongeza kuwa wanamtafuta ndugu wa Humphrey Polepole, aitwaye Augustino Polepole kuthibitisha tuhuma hizo.

Pia Soma:

Huenda jana kuna mtu alisitisha mikutano akahakiki kama HP kapatikana kweli. Hakuna aliyetua ziwani na kwa twiga?
 
🤣🤣🤣🤣
Mama wa kwanza kutojua tabia za mwanae...et HP ana upendoo😅
Inasemekana mwanamke anaweza kuwa katili sana kuliko hata shetani mwenyewe, hata wewe unajidhihirisha kwenye comment zako. Uzuri kuna karma na power of nature kwa kila mtu hata nyie mlioshika mpini kwasasasa. Ila nakuhakikishia siku sio nyingi mtalia na kusaga meno. Kuimba ni kupokezana.
 
Wewe ndo utalia na kusaga nywele
Haya maneno yako hayashtui
Kwanza huyo mama ana act tu we huon yani hatii hata huruma 😅
Ukinganisha na mama kabendera enzi zile za HP Akiwa anajiona mungu mtu
 
Back
Top Bottom