mama nyerere amuige mama Karume kuwa kimya? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

mama nyerere amuige mama Karume kuwa kimya?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by muhogomchungu, Mar 9, 2011.

 1. muhogomchungu

  muhogomchungu JF-Expert Member

  #1
  Mar 9, 2011
  Joined: Jan 9, 2011
  Messages: 375
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mama nyerere amuige mama Karume

  Haiptiki wiki utamsikia mama MARIA nyerere akitajwa kwenye vyombo vya habari
  anazungumzia siasa.Cha ajabu anashirikiana na Chadema kuinadama ccm. Mfano
  wakati wa kuwapongea viongozi wa chaema kwake.
  uhai wa baba wa taifa mama huyu angalijotekeza?.jee kwanini asiige nyayo za mama karume kuwa kimya?
  kupumzika kisiasa? jee mama yetu huyu angalikuwa tayari kumkosoa baba wa taifa wakati
   
 2. kapotolo

  kapotolo JF-Expert Member

  #2
  Mar 9, 2011
  Joined: Sep 19, 2010
  Messages: 3,727
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Unatafuta laana, muache mama wa watu aseme, uzee maana yake busara na kushauri, huyo aliekaa kimya hana cha kusema si kwamba anapenda kuwa kimya.
   
 3. escober

  escober JF-Expert Member

  #3
  Mar 9, 2011
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 391
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  did you pass standard 1. am not sure of that
   
 4. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #4
  Mar 9, 2011
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Hakuna Mtu yoyote anaeongelea Makosa ya Karume kama wanavyomuongelea Mwl. Nyerere angalia Rais wako wa sasa anavyomsema kuwa Nyerere kazi ilimshinda ikabidi ajiondoe bado nchi ilikuwa na shida na hakuweza kuwasaidia.

  She has a right to speak and defend her Husband Legacy.
   
 5. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #5
  Mar 9, 2011
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,479
  Likes Received: 761
  Trophy Points: 280
  Ngoja usikie aloyasema leo kuhusu hao unasema anaoshirikiana nao.
   
 6. Mfamaji

  Mfamaji JF-Expert Member

  #6
  Mar 9, 2011
  Joined: Nov 6, 2007
  Messages: 6,525
  Likes Received: 556
  Trophy Points: 280
  kama anawasupport Cdm kina kuuma nini mbona wewe unasuport mafisadi na jiserekali lao hovyo. Better shut ua big mouth
   
Loading...