Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,801
- 43,177
Habari za mwisho wa juma nyote,
Kama ada ya Kasie leo kuna mahali nilienda na pakanikumbusha tukio la miaka 25 nyuma.
Baada ya kumaliza kidato cha nne nikiwa nasubiria kuingia kidato cha tano ndiyo baba akasema niende kwa shangazi yangu mkoa flani hivi. Nikiwa huko nilikuwa karibu na shangazi na alinibana kweli kweli ili nisirubuniwe kiufupi alinifanyia geti kali.
Shangazi yangu alijishughulisha na biashara za kupika chakula na kuuza kwa wateja. Alianza asubuhi kupika chai na vitafunwa na kukusanya hela kisha aliandaa chakula cha mchana na kukusanya pesa kisha alimaliza kwa kuandaa chakula cha usiku na kumuachia mdogo wa mumewe ambaye ni mjomba mdogo ili auze na asubuhi ya kesho yake alimpa mauzo yote shangazi.
Hii ilimpa nafasi shangazi kurudi nyumbani mapema na kuandaa mlo wa jioni wa familia na kupanga mambo ya siku inayofuata. Likizo ya kusubiri kuingia kidato cha tano ilikuwa ya miezi 6 hadi 7 miaka ile ulikuwa ukimaliza kidato cha nne mwezi wa 10 au 11 basi kidato cha tano unaingia mwaka unafuata mwezi wa saba.
Baada ya kumaliza mwezi mmoja pale kwa shangazi akaanza kunihusisha na biashara zake, kana kwamba nikawa nashinda nae kule kwenye biashara zake na alikuwa akinituma kupeleka chakula kwa wateja mezani na kuondoa vyombo. Nilizoea biashara ile na wateja wake pia nikawazoea kiasi kwamba kuna siku shangazi aliniacha niamshe biashara kuanzia asubuhi hadi jioni namkabidhi mjomba mdogo chakula cha jioni na kurudi nyumbani.
Biashara ile ilikuwa na changamoto ambazo baadhi ya wateja walikuwa wakorofi wanaagiza chakula na baada ya kula hawana hela ya kulipa. Wengine walikuwa walevi basi udhia haukosekani kwenye kutafuta kipato.
Siku ya siku ambayo sitaisahau na si kumwambia mtu yeyote ilikuwa hivi.
Siku hiyo nilikuwa mwenyewe wakaja wateja 3 ilikuwa mlo wa mchana baada ya kula nikanyanyuka kuondoa vyombo na kuwanawisha mikono. Alikuwa analipa mmoja hivo wale wawili wakatoka akabaki huyo mmoja na nilipomdai hela akaniambia naomba uingize mkono mfukoni toa hela maana mikono yangu ina maji na sitaki kujichafua naenda mahali muhimu. Sikutaka kubisha maana nshauza chakula na hela ni haki yangu nikaingiza mkono mfukoni mwake heee...!!!
Nashangaa mkono unazidi kwenda na sifiki mwisho wala sikuti hela nikaona nipindishe mkono kuelekea kati weeeh toobaah nilikutana na bonge ya mtulinga uko wiiiiiiiiiihh niliogopajee nikamtizama yule mteja usoni huku nikihamaki na kutoa mkono haraka maana nilijua nimegusa nyoka mweeh!!! Alivoona nimeogopa sana akaingiza mkono mfuko mwingine akatoa hela na kunilipa kisha akaondoka huku anacheka akaniambia hiyo uliyoishika ni zawadi yako kesho eeh. Nikabaki naduwaa kumbe ule mfuko alioniambia niingize mkono alijua kuwa umetoboka na hakuwa amekaa kyupi hivo nilikutana na bombardier ana kwa ana.
Kipindi hicho nilikuwa bado mdogo mwembamba utasema msomali, hata mwanaume sijamjua bado nikajisemea na shangazi wanamfanyiaga hivihivi? Au mimi tuu.
Usiku wake niliwaza sana yule kaka alimaanisha nini. Ilikuwa imebaki wiki nirudi nyumbani ili kujiandaa na maandalizi ya kidato cha tano. Kesho yake nikamuomba shangazi nipumzike nisiende kwenye biashara tena nashukuru nae akanikubalia hivo yule mkaka sikuonana nae tena.
Ila kuna mteja huyo alikuwa akija akinikuta lazima aniimbie. Huyu nilimpenda maana alikuwa na misuli kakamavu.....
Aliniimbia hivii;
Maama eeh ntilie unijazie.
Eh mama nipe kidogo niongeze nyama kidogo pilipili hapana mamdogo bilinganya weka kidogo
Huyu nae hadi naondoka kwa shangazi sikupata wasaa wa kuongea nae.
Mama ntilie, nimekumbuka mbali Kasie mie. Maisha haya acha tuu.