LexAid
JF-Expert Member
- Jul 5, 2011
- 1,931
- 774
Toba weeee lazma chumvi izidi kwa hali hiyo lol
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Nafuu chumvi..Hilo limbwata hapo lazima urudi kila siku. Hauendi kula pengine ng'o!

Huwa anaona giza nadhani.mkuu kipofu anaona?
Anauchumi huyo dada ni balaaa, mate yalikutoka kijana.hamna bana!! vipofu wanaona kwa kushika!sasa unataka kusema mimi nilishika shika huyo mama kabla sijampiga picha?
Nafuu chumvi..Hilo limbwata hapo lazima urudi kila siku. Hauendi kula pengine ng'o!
du.........
hahahaaa!! aisee una mtaala wa haya mambo??
ngoja nimlaze huyu hiyo staili namba nne..!!
Toba weeee lazma chumvi izidi kwa hali hiyo lol
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Hahahhaahahah yaani unajikuta mida ya lunch umeshafika....wakati nasoma kulikua na sehem tofauti wanauza urojo ila mie na frnds zangu kila siku tunaenda kwa bibi flani basi kuna siku tukajiuliza huyu bibi hatumii vizizi lakini yaani unajikuta umeshafika lol