hapa visipokuwa vitam basi tena maana hii limbwata hadharani ha ha haa
Limbwata!kwa wale wadau wa mama ntilie!!
hivi ndivyo wali nyama , kuku na nini na nini vinavyoanadaliwa...
![]()
umeelewa kitu hapo?
Duh! Dadaangu umenena hasa ukitilia maanani wengine huizamia makusudi!Toba weeee lazma chumvi izidi kwa hali hiyo lol
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
XL wewe ndio kiongozi wangu , usinitupekweli... jasho la usoni ni maji tosha ya ugali na wali, achilia mbali uchafu wa vyombo vyao
Si ndio hapo mtu wangukweli vitu vingine tusitake kujua behind the scene