Baba hajabezwa anajulikana enzi toka enzi umuhimu wake,responsible man akionekana tu haihitaji maelezo mengi kumjua kwamba yeye ni baba,lakini si kwa mwanamke mchango wake unakuwa hauthaminiwi kana kwamba ni wajibu wake alizaliwa kuyatenda hayo,mara nyingi amechukuliwa kama chombo dhaifu. Wote ni wa muhimu baba na mama,lakini ni muhimu zaidi pia jamii kuutambua umuhimu wa mama katika familia na si baba peke yake.