Mr. Allan.. nadhan uko right. Mama ashughulike na walimu. Walim wakiwa bora.. elimu nayo itakuwa bora.nikusalimu mama, kwanza kabla ya yote mama niseme mimi nakukubali sana utendaji wako tangu ukiwa necta na hata kuchaguliwa kwako nilifurahi sana maana nakukujua na binafsi nimeshafanya kazi Mara mbili na wewe hivyo nakujua kidogo..
kadri siku zinavyosogea umaarufu wako unazidi kuporomoka kutokana na matamko yako na si utendaji wako!! wadadavuzi Wa mambo wanadai kinachokuponza ni kutamka tu...kila unapopita!! nimejaribu kufuatilia matamko yako nikaona una nia njema ya kuua nyoka lakini unapiga kwenye mkia bila kutafuta kichwa!!
nakuhakikishia ukipiga kichwani ni fimbo moja tu nzito kuliko kupiga fimbo mia mkiani...
mama ubora Wa Elimu nchi hii ni WALIMU !! hiki ndio kichwa cha nyoka! Mara majoho, sijui nini, ohh sijui hivi!! huko kote mama unapiga mkiani!!
kaa vizuri na walimu wako changamoto zao unazijua vyema!! poteza muda wako mwingi kukaa nao na kuwaambia kipi unataka wakifanye katika Elimu Yetu, tatua kero zao, boresha maslahi yao...rudisha ile morali yao ya kazi hiki ndicho kichwa mamaangu!!
najua siasa inaanza kukutawala kidogo na wapo watakaokunong'oneza kuwa nyoka ukimkata mkia atakufa pole pole!! achana nao .
nikusalimu mama, kwanza kabla ya yote mama niseme mimi nakukubali sana utendaji wako tangu ukiwa necta na hata kuchaguliwa kwako nilifurahi sana maana nakukujua na binafsi nimeshafanya kazi Mara mbili na wewe hivyo nakujua kidogo..
kadri siku zinavyosogea umaarufu wako unazidi kuporomoka kutokana na matamko yako na si utendaji wako!! wadadavuzi Wa mambo wanadai kinachokuponza ni kutamka tu...kila unapopita!! nimejaribu kufuatilia matamko yako nikaona una nia njema ya kuua nyoka lakini unapiga kwenye mkia bila kutafuta kichwa!!
nakuhakikishia ukipiga kichwani ni fimbo moja tu nzito kuliko kupiga fimbo mia mkiani...
mama ubora Wa Elimu nchi hii ni WALIMU !! hiki ndio kichwa cha nyoka! Mara majoho, sijui nini, ohh sijui hivi!! huko kote mama unapiga mkiani!!
kaa vizuri na walimu wako changamoto zao unazijua vyema!! poteza muda wako mwingi kukaa nao na kuwaambia kipi unataka wakifanye katika Elimu Yetu, tatua kero zao, boresha maslahi yao...rudisha ile morali yao ya kazi hiki ndicho kichwa mamaangu!!
najua siasa inaanza kukutawala kidogo na wapo watakaokunong'oneza kuwa nyoka ukimkata mkia atakufa pole pole!! achana nao .
Duh, umewasilisha vizuri sana, hongeranikusalimu mama, kwanza kabla ya yote mama niseme mimi nakukubali sana utendaji wako tangu ukiwa necta na hata kuchaguliwa kwako nilifurahi sana maana nakukujua na binafsi nimeshafanya kazi Mara mbili na wewe hivyo nakujua kidogo..
kadri siku zinavyosogea umaarufu wako unazidi kuporomoka kutokana na matamko yako na si utendaji wako!! wadadavuzi Wa mambo wanadai kinachokuponza ni kutamka tu...kila unapopita!! nimejaribu kufuatilia matamko yako nikaona una nia njema ya kuua nyoka lakini unapiga kwenye mkia bila kutafuta kichwa!!
nakuhakikishia ukipiga kichwani ni fimbo moja tu nzito kuliko kupiga fimbo mia mkiani...
mama ubora Wa Elimu nchi hii ni WALIMU !! hiki ndio kichwa cha nyoka! Mara majoho, sijui nini, ohh sijui hivi!! huko kote mama unapiga mkiani!!
kaa vizuri na walimu wako changamoto zao unazijua vyema!! poteza muda wako mwingi kukaa nao na kuwaambia kipi unataka wakifanye katika Elimu Yetu, tatua kero zao, boresha maslahi yao...rudisha ile morali yao ya kazi hiki ndicho kichwa mamaangu!!
najua siasa inaanza kukutawala kidogo na wapo watakaokunong'oneza kuwa nyoka ukimkata mkia atakufa pole pole!! achana nao .
Unadhani mambo ni rahisi kiasi hicho mkuu ..!!??Lowassa aliwaambia yeye kitu chakwanza kabisa angefanya nikuboresha maslahi ya waalimu maswala ya madawati kwake isingekuwa issue..!!nikapiga akili kwaharakaharaka nikaona angeweza kwenda kwa Mengi akamwambia na hitaji kiasi kadhaa,Mo nakupa tax free kwenye eneo fulani nipe bilioni hapo ya madawati,TRA kwenye kodi ya mwezi huu toeni milioni miatatu ya dawati n.k