Mama Ndalichako, kichwa cha nyoka hiki hapa piga!!

CK Allan

JF-Expert Member
Aug 14, 2013
2,723
5,899
Nikusalimu mama, kwanza kabla ya yote mama niseme mimi nakukubali sana utendaji wako tangu ukiwa necta na hata kuchaguliwa kwako nilifurahi sana maana nakukujua na binafsi nimeshafanya kazi Mara mbili na wewe hivyo nakujua kidogo..

Kadri siku zinavyosogea umaarufu wako unazidi kuporomoka kutokana na matamko yako na si utendaji wako!! wadadavuzi Wa mambo wanadai kinachokuponza ni kutamka tu...kila unapopita!! nimejaribu kufuatilia matamko yako nikaona una nia njema ya kuua nyoka lakini unapiga kwenye mkia bila kutafuta kichwa!!

Nakuhakikishia ukipiga kichwani ni fimbo moja tu nzito kuliko kupiga fimbo mia mkiani...

Mama ubora Wa Elimu nchi hii ni WALIMU !! hiki ndio kichwa cha nyoka! Mara majoho, sijui nini, ohh sijui hivi!! huko kote mama unapiga mkiani!!

Kaa vizuri na walimu wako changamoto zao unazijua vyema!! poteza muda wako mwingi kukaa nao na kuwaambia kipi unataka wakifanye katika Elimu Yetu, tatua kero zao, boresha maslahi yao...rudisha ile morali yao ya kazi hiki ndicho kichwa mamaangu!!

Najua siasa inaanza kukutawala kidogo na wapo watakaokunong'oneza kuwa nyoka ukimkata mkia atakufa pole pole!! achana nao .
 
nikusalimu mama, kwanza kabla ya yote mama niseme mimi nakukubali sana utendaji wako tangu ukiwa necta na hata kuchaguliwa kwako nilifurahi sana maana nakukujua na binafsi nimeshafanya kazi Mara mbili na wewe hivyo nakujua kidogo..

kadri siku zinavyosogea umaarufu wako unazidi kuporomoka kutokana na matamko yako na si utendaji wako!! wadadavuzi Wa mambo wanadai kinachokuponza ni kutamka tu...kila unapopita!! nimejaribu kufuatilia matamko yako nikaona una nia njema ya kuua nyoka lakini unapiga kwenye mkia bila kutafuta kichwa!!
nakuhakikishia ukipiga kichwani ni fimbo moja tu nzito kuliko kupiga fimbo mia mkiani...

mama ubora Wa Elimu nchi hii ni WALIMU !! hiki ndio kichwa cha nyoka! Mara majoho, sijui nini, ohh sijui hivi!! huko kote mama unapiga mkiani!!

kaa vizuri na walimu wako changamoto zao unazijua vyema!! poteza muda wako mwingi kukaa nao na kuwaambia kipi unataka wakifanye katika Elimu Yetu, tatua kero zao, boresha maslahi yao...rudisha ile morali yao ya kazi hiki ndicho kichwa mamaangu!!

najua siasa inaanza kukutawala kidogo na wapo watakaokunong'oneza kuwa nyoka ukimkata mkia atakufa pole pole!! achana nao .
Mr. Allan.. nadhan uko right. Mama ashughulike na walimu. Walim wakiwa bora.. elimu nayo itakuwa bora.
 
Serikali inakwepa ukweli.. Eti imeanza na madawati ili elimu iimarike!
 
Lowassa aliwaambia yeye kitu chakwanza kabisa angefanya nikuboresha maslahi ya waalimu maswala ya madawati kwake isingekuwa issue..!!nikapiga akili kwaharakaharaka nikaona angeweza kwenda kwa Mengi akamwambia na hitaji kiasi kadhaa,Mo nakupa tax free kwenye eneo fulani nipe bilioni hapo ya madawati,TRA kwenye kodi ya mwezi huu toeni milioni miatatu ya dawati n.k
 
nikusalimu mama, kwanza kabla ya yote mama niseme mimi nakukubali sana utendaji wako tangu ukiwa necta na hata kuchaguliwa kwako nilifurahi sana maana nakukujua na binafsi nimeshafanya kazi Mara mbili na wewe hivyo nakujua kidogo..

kadri siku zinavyosogea umaarufu wako unazidi kuporomoka kutokana na matamko yako na si utendaji wako!! wadadavuzi Wa mambo wanadai kinachokuponza ni kutamka tu...kila unapopita!! nimejaribu kufuatilia matamko yako nikaona una nia njema ya kuua nyoka lakini unapiga kwenye mkia bila kutafuta kichwa!!
nakuhakikishia ukipiga kichwani ni fimbo moja tu nzito kuliko kupiga fimbo mia mkiani...

mama ubora Wa Elimu nchi hii ni WALIMU !! hiki ndio kichwa cha nyoka! Mara majoho, sijui nini, ohh sijui hivi!! huko kote mama unapiga mkiani!!

kaa vizuri na walimu wako changamoto zao unazijua vyema!! poteza muda wako mwingi kukaa nao na kuwaambia kipi unataka wakifanye katika Elimu Yetu, tatua kero zao, boresha maslahi yao...rudisha ile morali yao ya kazi hiki ndicho kichwa mamaangu!!

najua siasa inaanza kukutawala kidogo na wapo watakaokunong'oneza kuwa nyoka ukimkata mkia atakufa pole pole!! achana nao .

Mkuu uko sahihi. Kuanzia Shule ya Msingi, Sekondari, mpaka Chuo Kikuu, Wengi wa Waalimu waliopo ni porojo tu. Hawafundishi inavyotakiwa. Bila juhudi ya mwanafunzi, hawezi kufaulu. Suala la Waalimu liangaliwe zaidi na sio makelele tu
 
Aisee kweli aachane na siasa za kuiba kura na matamko yasiyo na mbele wala nyuma..ajikite kuwatatulia walimu kero zao mambo yote yatakaa sawa..
 
Hivi katoa matamko mangapi mpaka sasa ?? Na mangapi yapo katika utekelezaji ??
 
Huyu mama haangalii nn tatzo na nn afanye! Afanyacho ni kukurupuka tu namatamko!
 
nikusalimu mama, kwanza kabla ya yote mama niseme mimi nakukubali sana utendaji wako tangu ukiwa necta na hata kuchaguliwa kwako nilifurahi sana maana nakukujua na binafsi nimeshafanya kazi Mara mbili na wewe hivyo nakujua kidogo..

kadri siku zinavyosogea umaarufu wako unazidi kuporomoka kutokana na matamko yako na si utendaji wako!! wadadavuzi Wa mambo wanadai kinachokuponza ni kutamka tu...kila unapopita!! nimejaribu kufuatilia matamko yako nikaona una nia njema ya kuua nyoka lakini unapiga kwenye mkia bila kutafuta kichwa!!
nakuhakikishia ukipiga kichwani ni fimbo moja tu nzito kuliko kupiga fimbo mia mkiani...

mama ubora Wa Elimu nchi hii ni WALIMU !! hiki ndio kichwa cha nyoka! Mara majoho, sijui nini, ohh sijui hivi!! huko kote mama unapiga mkiani!!

kaa vizuri na walimu wako changamoto zao unazijua vyema!! poteza muda wako mwingi kukaa nao na kuwaambia kipi unataka wakifanye katika Elimu Yetu, tatua kero zao, boresha maslahi yao...rudisha ile morali yao ya kazi hiki ndicho kichwa mamaangu!!

najua siasa inaanza kukutawala kidogo na wapo watakaokunong'oneza kuwa nyoka ukimkata mkia atakufa pole pole!! achana nao .
Duh, umewasilisha vizuri sana, hongera
 
Waanze na maslai ya walimu kwanza walipwe vizuri posho za kutosha,nyumba bora,mikopo,kupandisha madaraja nk elimu itainuka
 
Lowassa aliwaambia yeye kitu chakwanza kabisa angefanya nikuboresha maslahi ya waalimu maswala ya madawati kwake isingekuwa issue..!!nikapiga akili kwaharakaharaka nikaona angeweza kwenda kwa Mengi akamwambia na hitaji kiasi kadhaa,Mo nakupa tax free kwenye eneo fulani nipe bilioni hapo ya madawati,TRA kwenye kodi ya mwezi huu toeni milioni miatatu ya dawati n.k
Unadhani mambo ni rahisi kiasi hicho mkuu ..!!??
 
Similar Discussions

29 Reactions
Reply
Back
Top Bottom