Mama Ndalichako kafanya nini cha Maana

Kurejesha sifa halisi za kujiunga Vyuo Vikuu na Vyuo vingine. Vyuo vilikuwa vimepoteza mwelekeo, unakuta mtu ana sifuri au fo ya point 30+ lakini eti anadailiwa chuoni.
 
kwa uandishi wako tu ,inaonyesha hutawaze kabisa kupambanua kilichofanywa na kiongozi wako wa mtaa
 
Huyu mama ni ziro kwelikweli,mwanzo tuliaminishwa eti ni mtendaji mzuri,aisee toka kapewa ulaji ni ujinga tu anafanya,sa ivi kaamua kuua elimu kabisa,watoto mashuleni vitabu wanavyotumia ni mtihani sana.
 
Fact hizi ndio hoja za msingi mkuu
 
Wakuu habari zenu!;Hili jina(Ndalichako) nlitokea kulifaham Kiundani na kusmbua akili yangu nkiwa Form Six nikijiandaa na mitihani baada ya kutuchanganyia madesa !!Hivi tangu Awe madalakani (waziri)wewe umeona kafanya nin cha maana??
Tuulzane kuna wakati napataga hasira nikiskia tu jina!!Am sorry kwa fans wake ni Waziri wetu kweli Ebu orodhesha hapo vya maana alivofanya !!Twende sambamba
Kweli hajakusaidia. Pole bwana. Maana naona hata uandishi wako ni ule wa kibashitebashite.

Subiri trilioni zije ununue Noah. Usituchoshe
 
Wakuu habari zenu!;Hili jina(Ndalichako) nlitokea kulifaham Kiundani na kusmbua akili yangu nkiwa Form Six nikijiandaa na mitihani baada ya kutuchanganyia madesa !!Hivi tangu Awe madalakani (waziri)wewe umeona kafanya nin cha maana??
Tuulzane kuna wakati napataga hasira nikiskia tu jina!!Am sorry kwa fans wake ni Waziri wetu kweli Ebu orodhesha hapo vya maana alivofanya !!Twende sambamba
Ni kweli walivyosema wengine kuhusu namna unavyoandika.

Ikiwa Ndalichako alikuwa ndiyo mkuu wa mitihani Tanzania na kwa jinsi unavyoandika ukaweza kufaulu mitihani yake mpaka ukafika form VI, unafikiri tutegemee nini kipya kutoka kwa Ndalichako?

Mimi naona yuko pale kwa maslahi fulani lakini si kwa uwezo wa kuleta mapya katika elimu kuwa bora.
 
PCB may be tatzo coz mi kiswahili nlfanyia paper tu 4m4 asee ila ni vema kueleweshana japo kuna watu wanatangulza unafiki na ushabiki wa kipuuzi
 
wasomi wa Tanzania mnatia hasira mnaposhindwa kuandika kiswahili fasaha
Wazili??
Hasila??
madalakani??
Tuanze na yeye, toka ameanza darasa la kwanza mpaka amemaliza kidato cha sita amejifunza nini kama hata kuandika kwa ufasaha hawezi?
 
But although all our knowledge begins with experience, it does not follow that it arises from experience.
 
acha kujitetea ..ulitakiwa ushukuru wale waliokurekebisha
Hauwez ukawa mkamilifu siku zote labda wewe unabahati hyo, kurekebishwa maishan n kawaida na sio jambo la kushangaza kama wengi walivochukulia kifupi niwaite VILAZA ,maana wataulza vilaza maana ake nn?twende sambamba
 
Kahakiki vyeti fake ambavyo haviktoka Necta,

Katoa matamko kadhaa,

Kaboresha Elimu kwa kutoktaka walimu wa sanaa wasiajiriwe,

Anajkomba kwa mteule wake,

Hizo nazo hujaziona mkuu!
 
Kahakiki vyeti fake ambavyo haviktoka Necta,

Katoa matamko kadhaa,

Kaboresha Elimu kwa kutoktaka walimu wa sanaa wasiajiriwe,

Anajkomba kwa mteule wake,

Hizo nazo hujaziona mkuu!
Exactly,Mkuu kunaswala la kuaply eti kuna vilaza wachache wanasema mfumo mzuri n mzuri kwa wenye uwezo apo kawabana watoto wa maskini,Kuaply chuo kimoja n 50 ukikosa uaply kingine 50 tena kwa mwanafnzi mwenye hali duni hatoweza kabisa,Anaweza akaaply chuo kmja akikosa basi anaishia apo,Then kuna vyuo vtakosa wanafnz ktokana na ktojulkana na kna wanafnz watachaguliwa vyuo zaidi ya viwili,Matamko yasiyo ya msingi!!Sizungumzi na vilaza wanao kalili mwandko na kuhoji la 7 kama wenyew wana PHD Nazngumza na wanaojielewa Twende sambamba
 
Kafuta habari ya tcu kukuchagulia chuo now kama ulaya unatafuta chuo mwenyewe ile habari ya baba yako kwenda kuonga tcu na kupelekwa udsm kwisha
 
Kafuta habari ya tcu kukuchagulia chuo now kama ulaya unatafuta chuo mwenyewe ile habari ya baba yako kwenda kuonga tcu na kupelekwa udsm kwisha
End of your thinking capacity !;ugum wa kuhonga upo wapi sasa hayo maombi unayoyatma direct chuoni yanachambuliwa na kna nan c watu au Hawahongeki wenyew tofauti na TCU eti
 
huyu mama angekuwa waziri wa vyuo vikuu maana sioni alichofanya na tcu sasa imeenda na maji wanaongeza mi grades kama wana bet vile
 
Back
Top Bottom