ENANTIOMER
JF-Expert Member
- Sep 22, 2014
- 1,419
- 804
Nenda ikulu ukamkosoe yule Bossi, kisha urudi hapa.wasomi wa Tanzania mnatia hasira mnaposhindwa kuandika kiswahili fasaha
Wazili??
Hasila??
madalakani??
kila siku unafungua masikio yako yaliyokaa kama ya popo na kusikiliza pumba za bossi wako wa ikulu na kuzifanyia kazi, ila leo hutaki kufanyia kazi mawazo ya huyu mwenzetu. Changia mada kwa jinsi ulivyoelewa, sio kujadili makosa ya kiuandishi. umesikia hapa tunachmbua sentensi kwa njia ya matawi?
kama ww uko kwa jili ya kukosoa makosa ya kuiandishi au ya kimatamshi, nakushauri ukaanzie ikulu.