Mama na wanae, yupi mama?

kkenzki

JF-Expert Member
Oct 27, 2012
1,493
2,473
uploadfromtaptalk1454652940776.jpg
Mama na wanae mapacha
 
Kwanini 2
Angalia facial expressions za huyo namba 1 na 3 utajua tu ni mapacha,mama kacheka zake huku mapacha hawana habari ,halafu pia sura zao 1 na 3 kidogo zinaleta maana ni mapacha though kuna uwezekano pia mama hayupo hapo wote watatu ni triplets
 
Huyo no 1 mwenye koti jeusi anaonekana wazi ndiye mama yao...
muonekano wake kwa ujumla usoni unaonyesha hivyo na shingo yake imeanza kujikunja na koromeo limetuna... hao wengine bado wapo soft soft..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom