Mama na mwanae

Mama na mwanae

tallnoma

Member
Joined
Sep 16, 2012
Posts
20
Reaction score
2
Mama: Mwanangu unalia nini hivyo?
Mtoto: Nimeota kitu kibaya usiku.
Mama:Kitu gani mwanangu?
Mtoto: Nimeota Tumefungua Shule.
Mama: Hoiiiii!
 
Back
Top Bottom