Kabsa mkuu ukisikia negative kila mara nguvu yako ya uvutano ina vuta hilo jambo utashangaa linakukumbaSiki hizi akili yangu haipendi kusoma wala kusikia kesi/mambo negative/ mambo ya kukera.....sijui ndo uzee [emoji849] nikisoma kidogo naacha hata nikikaa na watu wanaongea kesi kesi nawaacha naleft
Nadhani nnavyoitune akili kumbe mind ni rahisi kuwa vile unataka iwe nikiwaza negative najisemea mwenyewe sometimes nikiwa peke angu natoa sauti kabisa "no negatives" naona kabisa akili inafaulu hili[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwann sasa??
Wala hatufurahi mkuu , ni huzuni tu mambo ni mabaya mnoKataa Ndoa hapo wanakuwa Roho kwatuuu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila poleee yake huyo rafiki yako, kikubwa aipambanie familia yake, asiikimbie anakosea. Ilaa mmmh Ndoa hizi zina mengi.
SawasawaÀtoe mahari na mtoto ampe halafu afe mapema !!
Ni balaa watu wana masumbuko, mashida, matatizo na matabu sana hii dunia.Kataa Ndoa hapo wanakuwa Roho kwatuuu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila poleee yake huyo rafiki yako, kikubwa aipambanie familia yake, asiikimbie anakosea. Ilaa mmmh Ndoa hizi zina mengi.
Yeaaah ni hivyo dear eve.Nadhani nnavyoitune akili kumbe mind ni rahisi kuwa vile unataka iwe nikiwaza negative najisemea mwenyewe sometimes nikiwa peke angu natoa sauti kabisa "no negatives" naona kabisa akili inafaulu hili
Yaan ila huyu Kaka kwann asikae na mkewe wapange mambo ya msingi, means kuna sehemu wanashindwa kuwa sawa.Wala hatufurahi mkuu , ni huzuni tu mambo ni mabaya mno
Yaan ni tabu mnooooNi balaa watu wana masumbuko, mashida, matatizo na matabu sana hii dunia.
Fear of unknown. What if hakuna uchawi?Eti wanataka aende ukweni labda watatulia ndani wasigombane !!!
Hapo lazima kuna uchawi tuu.
Sure ila kwa sasa wadada wa kukaa nao mpange mambo ni wachache , kuna mitindo mipya ya nywele , simu matoleo ya kijanja na nk , wachache sna wanabahatika hawazid 10.Yaan ila huyu Kaka kwann asikae na mkewe wapange mambo ya msingi, means kuna sehemu wanashindwa kuwa sawa.
Siki hizi akili yangu haipendi kusoma wala kusikia kesi/mambo negative/ mambo ya kukera.....sijui ndo uzee 🙄 nikisoma kidogo naacha hata nikikaa na watu wanaongea kesi kesi nawaacha naleft
Huyo binti hajamtumia huyo kijanaUjingaujinga tu.....kuitumia binti,kumzalisha bila kumtolea mahari[emoji27]