umenikumbusha mbaali sana
miminakumbuka ile hadithi ya 'hadithi isiyo na mwisho'
nilikuja kuitazama movie yake later....
Sasa ikitokea muda muda huo wa kipindi unatumwa kununua chumvi robo kilo wa mangi sio kununa huko........ teh teh teh tehSaint Ivuga said:jumamosi mchana
Kweli kabisa hizi siries na zilikuwa kibokokinyoba said:aliekua msikilizaji wa kipindi hiki ni lazima azikumbuke hadithi hizi. ADILI NA NDUGUZE; UA JEKUNDU:
....nchi ya samawati...nadhani ndi ilikua hadithi ya binti chura..na kibanda cha bibi mwenye matongo tongo...
naona wanazirudia TBC 1 lakini hazina mvuto sana
..........
Jmos moja hatukuwa na betri ,faza hakuwa home ikabidi tuanike betri juani ili tu tupate kusikiliza mama na mwana mchana
lol tunatoka mbaaaaaaaaaaaaaali sana
naona wote mmesema jumamosi mchana, ila nimegundua hamjui ilikuwa saa ngapi.
Kipindi kilikuwa saa 8 mchana ila sikumbuki kilikuwa kinaisha mida gani, either kilikuwa kinaisha saa 8 na nusu au saa tisa au saa kumi