Mama na Mwana: Nini Kinaendelea Zanzibar?

Mama na Mwana: Nini Kinaendelea Zanzibar?

Anawaondoa njiani akina Nape na genge lake.,hebu wamuulize kwanini Karume alisema Muungano mwisho Chumbe ,ei si wamuhoji ili tuzidi kunufaika ? waarabu wa Pemba wajuana kwa vilemba na mambo ya WaZanzibari hutoyaweza.Waachiwe wapumue ,jingine kule kanisani wamesemaje ,Tanganyika ni lazima ni jambo la wakati tu ,msiyafinyange ya Zanzibar mkayaacha ya kwenu ,mtu kwao !!!

kwenye bold hakuwai kusema mwisho chumbe juu ya Muungano bali Azmio la Arusha
 
Back
Top Bottom