utaifakwanza
JF-Expert Member
- Feb 1, 2013
- 14,193
- 2,815
Ccm wana hadaiwa na wazenji
kivipi mkuu
Ccm wana hadaiwa na wazenji
mwanakijiji amechuja siku hizi, mada zake zinakaa hata wiki haizifiki page moja. watu wamemstukia ni mzushi.
mwanakijiji amechuja siku hizi, mada zake zinakaa hata wiki haizifiki page moja. watu wamemstukia ni mzushi.
Una maana Karume si mwana wa kweli wa hao wazazi tunaowafahamu?????
mwana wa kweli huyaenzi yale aliyoanzisha baba yake.
Inamaana baba yako akianza ushoga na wewe utaenzi tabia ya ushoga?
"Muungano kama Koti, Likikubana Shurti Ulivue - Karume Sr" ...Kwa kuzingatia kuwa Kitanda hakizai Haramu, Yupi wa Kweli katka hao wawili? ... Huwa sipendi sana kujadili issues ambazo ziko wazi ila kila mmoja wetu tunajifanya hatMzee Mwanakijiji
waulize waunguja watakupa majibu; mwana wa kweli huyaenzi yale aliyoanzisha baba yake!
kivipi mkuu
ni yupi mwenye nguvu ya ushawishi kwa wazanzibar ?
mwanakijiji amechuja siku hizi, mada zake zinakaa hata wiki haizifiki page moja. watu wamemstukia ni mzushi.
Hassan Nassor Moyo,, bila ya Moyo Seif asingelikuwa na nguvu Zanzibar(Unguja),,,Moyo ndie aliemkututanisha Karume na Maalim Seif,kumbuka Karume na Maalim Seif walikuwa na matatizo yao ya kibinafsi ukiachana na siasa lakini Moyo ameweza kuziondoa tafauti zao na kuwakutanisha pamoja
Katika siasa za zanzibar kwa hivi sasa King maker ni Hassan Nassor Moyo
Karume alijitangaza Mfalme wa Zanzibar kwenye vikao mbalimbali Ulaya, ushahidi upo CCM kisiwandui, na alitaka kufanya kweli, ila alijua atafanikisha tu akimshirikisha Maalim Seif wa CUF anaewatetea waliomwajiri yaani Waarabu waliofukuzwa na waliomo. Amani Karume nae yupo tayari kumpa chochote ili asimikwe Ubaba wa Zanzibar forever, ndio wakakutana mwaka 2009 manake miaka ya Amani ilikuwa imeisha na wengi wakitarajia atashikishwa adabu akitoka nje ya Ikulu kwa utapeli na unyang'anyi mkubwa alofanya, ila kwa usanii wa khali ya juu, aliteka nyayo za wazenji baada ya eti kujifanya anawaunganisha ili waidai nchi yao, kaamuru shirika la mapato za zanzibar yaani ZRB ilipie gharama zote za mihadhara ya Uamsho pamoja na kupeleka watu bure kutoka pande zote za zanzibar.
Mama mwanzo alimuunga mkono, sasa katangulia kurudi nyuma baada ya kuona Zanzibar huru haiwezekani, mwanawe kwakweli kajuta ila kurudi nyuma hajui apitie mlango gani?????
Huyu mama amewahi kuelezwa kama mmoja wa wafadhili wa Uamsho ambao ndo hasa wapiganiaji wa mamlaka kamili Zanzibar. CCM wanayo tabia na mazoea ya kuwachukua watu kama huyu mama kwenye mikutano hii kwa vitisho. Hilo wala si siri.
Kwanini Hassan Nassoro Moyo?
Umeona mbali , Unajua wanasiasa wameshajipa dhamana ya Katiba, wanaona wao ndio wanabeba matakwa ya wananchi kumbe wanakosea, niliwasikia baadhi ya wanasiasa wanasema kuwa wamewahooji watu wao juu ya katiba! Nilishangaa kwa kuwa jukumu hilo ilipewa tume, sasa sijui wao walioji hoji kivipi?Hapo ndipo nashindwa kuelewa siasa za Tanzania na wanasiasa kwa ujumla.
Swala la katiba sio swala la mashindano maana hatutafuti nani mshindi na nani kashindwa, Katiba ni maridhiano, katiba ni lazima ikubalike pande zote mbili, katiba ni lazima ibebe maoni ya wananchi na si ya watawala. Katiba sio ya Mama Karume wa si ya watoto wa Karume..
Ningependa katika swala nzima la katiba wanasiasa wangejiweka mbali kabisa. Katiba bora itatoka kwa wananchi