Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 34,243
- 44,519
Welcome to life. That's how life works!
mama ndiye anayempa kiburi mtoto-rais mstaafu. Yule mwingije, yaani balozi karume anapingana nao sana. Nakubaliana na mwanakijiji kuwa kuna siri nzito hapo.
Mzee Mwanakijiji
waulize waunguja watakupa majibu; mwana wa kweli huyaenzi yale aliyoanzisha baba yake!