Mama na mtoto wananipenda nifanyaje?

mtoto mdogo

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2014
Posts
501
Reaction score
130
Mimi ni msambazaji wa bidhaa kwenye supermarket mbalimbali nipo Arusha. Juzi katika kazi zangu nilipata mteja mpya ambaye ni mama mtu mzma mwenye supermarket yake.

Nilimpelekea mzigo baada ya hapo kanikaribisha nyumbani kwake weekend hii. Yeye hajaolewa ila ana watoto wawili binti na mvulana huyo binti yake ana umri kama wa miaka 17 hivi. Nilipofka kwake wamenipokia vizuri nikabahatika kumzoea.

Binti yake nikatake na contact akiwa chumbani kiukweli binti yake kanitamkia ananipenda cha ajabu leo nimepeleka mzigo mama nae kanieleza ananihitaji tena kesho tukutane hotelini, nipo njia panda.

Jamani nifanyaje,nishaurini.
 
We kweli bwiii kwa akili zako inaonekana unataka ulelewe na madada. Tafta hela utaona saiz yako vema.
 
Me too
Kama pesa si shida kwangu.
 
Last edited by a moderator:
Wacha ujinga wewe; Washughulikie wote wawili - ila hakikisha wasikustukie. Piga kimya kimya bila kelele - ukimaliza njoo utupe taarifa hapa JF.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…