mama na mtoto kwenye daladala | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

mama na mtoto kwenye daladala

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by UncleUber, Jun 30, 2012.

 1. UncleUber

  UncleUber JF-Expert Member

  #1
  Jun 30, 2012
  Joined: Apr 25, 2011
  Messages: 4,945
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 145
  Katika daladala mama alitaka kumnyonyesha mtoto, mtoto akakataa, mama akamwambia nyonya! Kama hutaki nampa anko anyonye, ni kaka mmoja abiria aliketi na huyo mama. Mtoto akanyonya kidogo akaacha, mama akamtishia tena, ntampa anko? Ndipo kwa hamaki jamaa akasema mama uwe na msimamo! Unajua nimepitiliza vituo vinne kwa ajiri yako! Hebu kuwa mkweli! Unanipa ninyonye au nishuke?!
   
 2. Mzururaji

  Mzururaji JF-Expert Member

  #2
  Jun 30, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 1,236
  Likes Received: 597
  Trophy Points: 280
  ya kitambo sana mkuu
   
Loading...