Mama na familia wazikwa hai na bomobomoa ya Madale

Labda niwaeleze kuhusu hili sakata la huko Madale. Hawa wavamizi bana wakija kwenye eneo lako hawajalishi ulisha liendeleza kwa vipi. Wao wakifika kama ni wewe au ni mlinzi wanampiga mapanga na mkewe na watoto wakiwepo wanabakwa na wanataifisha mali zote wanazokuta hapo kwako. Unfortunately ukiripoti kwa polisi Wazo back then kabla ya huyu OCD wa sasa hajaja wanakwambia huko hawawezi kwenda kwani kunahitajika operesheni maalum na wale watu ni wengi na wana silaha za jadi!Hivyo cha kufanya ni kufungua tu RB unakaa nayo ukisubiri hiyo operesheni maalum.
Hayo yametokea in between 2007-2011, alipokuja huyu OCD mpya ndo yakaanza kupungua. Yule aliekuwepo alidiriki kuweka matangazo Polisi Wazo kuwa hawasikilizi matatizo na migogoro ya ardhi na yeyote mwenye hayo matatizo aende baraza la ardhi. Na tiba kwa waliotaifishwa mali zao ikawa ni kufungua RB tu basi.
Sasa basi wakisha taifisha hiyo mali yako na kusikia umeenda kwenye baraza la ardhi kufungua kesi, wao wanabomoa any structure uliyo erect kwenye hilo eneo lako na kama una miti wanaikata yote na kama una mifugo wanachinja na kuila yote (kama hawataiuza!) na mwisho wa siku wanaanza kukomaa kwamba wamekuta pori wamelisafisha na kuanzisha makazi!! Kibaya zaidi wanatumia yaleyale material kutoka kwenye nyumba zako na miti yako kujengea vibanda vidogo vidogo kuzunguka eneo lako lote.
Kama kwamba hiyo haitoshi.. ukionekana tena kwenye hilo eneo lako kama wewe ni mwanamme utatekwa na kupewa kipigo kitakatifu ikiwemo na kupigwa mapanga e.g Mwanasheria wa Manispaa ya kinondoni yaliyomkuta Mr. Mahenge. na kama ni mwanamke utabakwa na virusi wakuachie!
Kuna familia moja ya baba, mama na mtoto wao wa kike wa miaka 5 walikwenda kwenye eneo lao kama mwezi mmoja uliopita na ukiacha kipigo alichopata baba vile vile walimlawiti mbele ya mkewe na mwanawe na mama akabakwa na mtoto wao wa kike only 5 yrs old alibakwa na hao wavamizi na kuharibiwa kizazi kabisa. God have mercy! Hiyo familia ipo na ukitaka muulize OCD wa Kawe Mr Muroto kwa simu no. +255767190990. Bado wapo hospitali.
Baada ya hii operesheni hata matukio ya ujambazi na uporaji maeneo ya Tegeta, Boko, Bunju na majirani zao yamepungua sana. Hii ni ripoti ya OCD kawe kwenda kwa wahanga wa uvamizi.
Kuna mama anaitwa Anna Hangaya au Anna Luvanda aka Mama Makete. Yeye ni mwenyekiti wa UWT wilaya ya Kinondoni na yeye ndo mfadhili mkuu wa hawa wavamizi. Na analo genge lake la kufanya huu uovu mchana kweupee na nnashangaa ni kwa nini hachukuliwi hatua. Huyu mama ukiacha kwamba ni mvamizi kwenye eneo la mzee Chacha lililopo Nyakasangwe, lenye hati miliki no. 45968. Ni mmiliki wa malori ya kubeba vifusi, kokoto na mawe kama anavyokiri mwenyewe kwenye gazeti la Tanzania Daima la tarehe 3 Sept, 2012 uk. 4.
Huyu mama na genge lake hilo kwa sasa wamevamia maeneo yote yenye mawe na kifusi huko Nyakalekwa, Nyakasangwe na boko magereza na kwa habari isiyo rasmi ni kwamba anasupply hivyo vifusi na mawe kwenye ujenzi wa barabara ya Mwenge-tegeta. Na hayupo tayari kuyaachia hayo machimbo yanayomsupply materials free of charge.
Kwenye mkanda wa mauaji ya mabaunsa huyu mama na genge lake hilo anaonekana live akitoa command na kuhamasisha genge lake hilo wawauwe hao mabaunsa angalau hata mmoja siku hiyo. Na kweli mabaunsa wawili walikufa bila hatia yoyote kwani hawakupiga wala kujeruhi mtu yeyote siku hiyo.
Ngoja niishie hapa ntatupia mkanda wa testimony ya haya niliyoandika midamida.

Kuna vitu vitatu visivyofichika milele. JUA, MWEZI na UKWELI. by mwanafalsafa flani hivi wa Kichina..
 
Katika kuamua kufichua mauaji ya polisi wetu bomoabomoa ya madale na maeneo mengine mambo ya ajabu yamegundulika, Mama mmoja amefunikwa na kupondwa pondwa na katapila yeye na familia yake pindi walipojifungia ndani ya nyumba yao ili kunusuru isbomolewe na askari polisi. Habari hizi ni za kweli na za kuhuzunisha sana. Kama mwanahalisi lingekuwepo habari hii ingepatikana vizuri kwa kina. Inauma sana na huu sio uungwana haki yote ipatikane damu ya mama huyu na watoto wake ndio ililia na kuumbua wanahabari ambao hununuliwa. Kamwe hatutanyamaza tutapaza sauti ulimwengu ujue hata kama polisi wameenda kuondoa ushahidi tutasema tuuuuuu. Mauaji ya mama huyu na ya watu wengine hayavumiliki.

inna lilay wailay lilay rajuun

ala kumbe alikua anajua nyumba onabomolewa na yy yupo ndani anategemea nn,watu wwngine acheni kutafuta sababu fuateni taratibu.
 
Katika kuamua kufichua mauaji ya polisi wetu bomoabomoa ya Madale na maeneo mengine mambo ya ajabu yamegundulika, Mama mmoja amefunikwa na kupondwa pondwa na katapila yeye na familia yake pindi walipojifungia ndani ya nyumba yao ili kunusuru isibomolewe na askari polisi.

Habari hizi ni za kweli na za kuhuzunisha sana. Kama mwanahalisi lingekuwepo habari hii ingepatikana vizuri kwa kina. Inauma sana na huu sio uungwana haki yote ipatikane damu ya mama huyu na watoto wake ndio ililia na kuumbua wanahabari ambao hununuliwa.

Kamwe hatutanyamaza tutapaza sauti ulimwengu ujue hata kama polisi wameenda kuondoa ushahidi tutasema tuuuuuu. Mauaji ya mama huyu na ya watu wengine hayavumiliki.

inna lilay wailay lilay rajuun


...hapo kwenye Bold Mkuu. Una hakikishaje kuwa ni za Ukweli? Uliwaona maiti wakifukuliwa kwa macho yako mwenyewe kutoka kwenye kifusi cha iliyokuwa nyumba yao? Kama hawajafukuliwa umechukua hatua gani kutoa taarifakwa wahusika ili kifusi kifukuliwe na dunia ishuhudie ukatili huo??

 
Back
Top Bottom