Binti:Mama wale mateja watu wabaya xana MAMA:wamekufanyaje mwanangu? BINTI:Niliwaomba waniangulie maembe mtini wakaniambia nipande mwenyewe MAMA😛umbafu zao walitaka wakuchungilie chuPI YAKO BINTI:WEEE¡,unadhan me cna akili? MAMA:ulifanyaje? BINTI:Niliwakomesha,niliivua chupi nikaificha mfukönii..."