mama mzazi wa siyoi ni mjaluo wa kenya

if this is your argument,I may simply say ''there is no rule without exception''

halafu naomba nikuulize una uhakika huyo unayemuongelea ni MAMA MZAZI wa siyoi?
Mkuu Meningitis, nakubaliana na wewe kuwa always kuna exceptions to the general rules, lakini hizo exceptions zinatokana na cross breed!. Kama walivyo jews ni blue eyes, hapa bongo kuna dada mmoja anafanya kazi CRDB Bank wazazi wake wote ni wabantu, and she is blue eyes!. Ukizama kwenye DNA utagundua kuna cross breed mahala.

Nkizungumzia dorminant traits, hizo huwa zipo and no exception, Wabantu wote nyele zao ni kipilipili na semi nilotic na nilotic nywele zao ni singa, kuna wabantu kibao wenye nywele za singa, lakini hakuna nilotic mwenye nywele za kipilipili!.

Wazungu waki cross breed na wa Afrika, product ni ma half caste, kwa vile Jaluo ni strong breed, ma half caste wa cross breed na Jaluo wanakuwa dark, yaani genes za Jaluo ndio dorminant genes kwenye muungano huo, hivyo uklikuta Jaluo yoyote ambaye sio mweusi, ujue kuna cross breed!.

Hili la mjane wa Jerry Solomon kuwa kama ndiye mama halisi wa Sioi, hili nalo neno!.
 
hapa ntabishana na wewe hadi pumzi yangu ya mwisho.
Jaluo_Nyeupe, naomba tusibishane tukaishia kuwadhalilisha wazazi wetu, haya ni mambo ya genetics, yako governed na law of mutatitions, kama wewe ni Mjaluo mweupe, na Wazazi wako ni Wajaluo, tambua wazi kuna mahali huko nyumba kuna mtu alikula kona!.
 
Mkuu Meningitis, nakubaliana na wewe kuwa always kuna exceptions to the general rules, lakini hizo exceptions zinatokana na cross breed!. Kama walivyo jews ni blue eyes, hapa bongo kuna dada mmoja anafanya kazi CRDB Bank wazazi wake wote ni wabantu, and she is blue eyes!. Ukizama kwenye DNA utagundua kuna cross breed mahala.

Nkizungumzia dorminant traits, hizo huwa zipo and no exception, Wabantu wote nyele zao ni kipilipili na semi nilotic na nilotic nywele zao ni singa, kuna wabantu kibao wenye nywele za singa, lakini hakuna nilotic mwenye nywele za kipilipili!.

Wazungu waki cross breed na wa Afrika, product ni ma half caste, kwa vile Jaluo ni strong breed, ma half caste wa cross breed na Jaluo wanakuwa dark, yaani genes za Jaluo ndio dorminant genes kwenye muungano huo, hivyo uklikuta Jaluo yoyote ambaye sio mweusi, ujue kuna cross breed!.

Hili la mjane wa Jerry Solomon kuwa kama ndiye mama halisi wa Sioi, hili nalo neno!.

pasco usitutoe kwenye mada!usikariri
Sayansi ya ngombe,mbwa na majogoo halafu ukauhisisha na binadamu kirahisi rahisi hivyo.
 
SIYOI ni jina adimu sana kwenye jamii ya wameru.
Ni jina common sana kwenye jamii ya wakenya
 
Hata Baba yake Barack Obama alikuwa mjaluo wa hukohuko Kenya!!Dah hii inaonyesha ishara nzuri kwa Sioi eeenh???
 
Hata Baba yake Barack Obama alikuwa mjaluo wa hukohuko Kenya!!Dah hii inaonyesha ishara nzuri kwa Sioi eeenh???
wameru wanapenda sana kabila lao!
Wanapenda himaya yao wenyewe
wanaupenda utamaduni wao

bado kidogo wafanane na wahindi au wayahudi.
 
wameru wanapenda sana kabila lao! Wanapenda himaya yao wenyewe wanaupenda utamaduni wao bado kidogo wafanane na wahindi au wayahudi.
Mkuu mimi najulikana kana kama Mnyamwezi kwa kabila kwa kufuata kabila ya baba lakini mama yangu si mnyamwezi!Je ni kweli kuwa wanyamwezi hawanitambui kama mnyamwezi mwenzao?
 
Mkuu mimi najulikana kana kama Mnyamwezi kwa kabila kwa kufuata kabila ya baba lakini mama yangu si mnyamwezi!Je ni kweli kuwa wanyamwezi hawanitambui kama mnyamwezi mwenzao?

umezaliwa unyemwezini?
Unajua kinyamwezi?
Unajua vijiji vya unyamwezini?
Umeishi unyamwezini?
Unafuata mila za kinyamwezi?

NINI KINAKUFANYA UTAMBULIKE KAMA MNYAMWEZI?

Kwa wameru haya ni mambo muhimu sana,kama walivyo wamasai,wasonjo nadhani hata wapemba.
 
Anayegombea ni nani? Mama au Sioi? Kwanini tunapenda kufanya hili swala la uraia ni tatizo tena kwa watanzania wenzetu? Hivi nani ni mtanzania halisi zaidi ya mwingine? Ipo siku tutachekwa.
 
Baba mzazi wa Obama ni mjaluo.

I have a dream that one day we live in nation where will not be judged by the colour of our skin but by the content of our character- Luther King.
 
Anayegombea ni nani? Mama au Sioi? Kwanini tunapenda kufanya hili swala la uraia ni tatizo tena kwa watanzania wenzetu? Hivi nani ni mtanzania halisi zaidi ya mwingine? Ipo siku tutachekwa.
hebu nenda kenya ndio utaelewa suala la uraia ni sensitive kiasi gani
 
umezaliwa unyemwezini? Unajua kinyamwezi? Unajua vijiji vya unyamwezini? Umeishi unyamwezini? Unafuata mila za kinyamwezi? NINI KINAKUFANYA UTAMBULIKE KAMA MNYAMWEZI? Kwa wameru haya ni mambo muhimu sana,kama walivyo wamasai,wasonjo nadhani hata wapemba.
Kaka kinachonitambulisha kabila mimi ni Unyamwezi wa baba yangu tu,vijiji sivijui sana,kinyamwezi nakisikia kiasi je hapo si halali kujiita mnyamwezi?
 
Back
Top Bottom