Herbalist Dr MziziMkavu JF-Expert Member Feb 3, 2009 42,800 34,189 Mar 13, 2016 #1 Wanaume kuweni makini na wanawake zenu.Mwanamke dakika 2 anabadilika ishini nao vizuri
kenshi JF-Expert Member Jul 12, 2015 1,976 1,967 Mar 13, 2016 #2 inasikitisha sana. kuna mwingine anatafuta apate mtoto kuna mwingine anapata mtoto na anaamua kumtupa.
inasikitisha sana. kuna mwingine anatafuta apate mtoto kuna mwingine anapata mtoto na anaamua kumtupa.
manjanjagara Member Apr 22, 2013 62 40 Mar 13, 2016 #3 Wema sepetu miaka sasa anataka faraja ya ntoto ww unamtups
Mgirik JF-Expert Member Apr 27, 2013 13,208 13,233 Mar 13, 2016 #4 Wanawake hawa. Huyo mtoto kakosa nn
BoGotta JF-Expert Member Aug 21, 2015 740 674 Mar 13, 2016 #5 Na ukute siku ya kubembewa alitoa mikatiko ya hatari km feni mbovu mixer milio ya ajabu km DCM la gomz!
Na ukute siku ya kubembewa alitoa mikatiko ya hatari km feni mbovu mixer milio ya ajabu km DCM la gomz!