Mama mwenye nyumba ananitaka

"....Unaweka rehani miaka 30 ijayo kwa starehe ya dakika 30..."

Fikiria familia yako kwanza. Matokeo mabaya ni mengi zaidi kwenye unachotaka kufanya kuliko matokeo mema.
 
Wainnalilah rajiun.....

Hizi ndizo fikra za kijana wa kiume ambaye ni baba wa familia.....ambaye ndiye kichwa cha familia....ambaye kupitia uzao wake tunategemea kuwapata waTanzania wengine.......

So sad....and very sad......

Nawakumbusha mabinti kuwa sio kila mwanaume ana sifa ya kuwa mume.......

Mwanaume hawezi kuwa na sifa ya kuwa mume.....mpaka atakapoishinda vita ya kupambana na matamanio yake........

Na ndio hao waliotulea na kuwa watu bora....na daima tunajivunia kuwa na baba kama huyo.......

Wewe ungejisikiaje pale ambapo ungesikia kuwa baba yako amefumaniwa.....!???

Think big
Take control of your destiny........
 
Haya asante kwa Taarifa na kuonyesha kua na wewe ni Rijal ila kumbuka huenda mkeo analiwa na Baba mwenye nyumba sasa mkewe analipiza ebu tuliza akili utafakari tena kabla huja chukua hatua,manake kila mla cha mwenziwe na chake pia Huliwa...
 
Bure ni ghali sana, unaweza kufikiria tatizo la kodi litakwisha lakini unajua anayoyabeba kwenye mwili wake? Usije ukaishia kwenye kitengo na ARV kwa maisha yako yote yaliyobaki.
Bora akiishia kwenye ARV kuliko akapoteza nyeti kama yule mkenya...hapo ndipo atajua " Dunia hadaa ulimwengu ni shujaa"
 
Bure ni ghali sana, unaweza kufikiria tatizo la kodi litakwisha lakini unajua anayoyabeba kwenye mwili wake? Usije ukaishia kwenye kitengo na ARV kwa maisha yako yote yaliyobaki.
Ni kweli mkuu nitajitahidi ila mambo magumu haya
 
Kutokana na Ile tabia yako ya awali huyo ulishamnyonyoa ile kuwa makini cha mtu huliwa na mtu na malipo ni hanohano duniani.
Hapana mkuu bado sijamnyonyoa
ile tabia niliiacha muda sana, ila huyu mama ndio anataka kunirudisha nyuma
 
We babu usitufanye sisi watoto huyo mtu wewe unamtaka pia na inawezekana umeshakula umekuja kutupa habari tu.
Yeye ndio ananitaka!
kwa hili nitampa ushirikiano tu, bado sijamkula bado
 
Hiyo taarifa ingekuwa better kama ungempa mume wa huyo mama na mkeo

Kutupa taarifa watu tusiokufahamu hainogi mixer sio fair
Nikiwatarifu hao unahisi kitatokea nini?

Hii nimepanga niifanye kimya kimya
wasijue kabisa
 
Wakati uyo mama anakuonyesha dalili za kukutaka na mkeo nae anamuonyesha baba mwenye nyumba dalili za kumuitaji kwa iyo bila bila,tombeaneni tu.
Mke wangu mtulivu sana!
hafanyi na haijui michezo iyo
 
Hii haiwezi kunikamatisha!
hicho kiwango, na mkusanyagi haya yanafanyika katika nyumba nyingi za kupanga

Ata ivyo nitawakataa wazi wazi
 
Ushauri mzuri huu
 
aisee, isije ikawa ndiye wewe kijana mpangaji wangu hapa kwangu. ngoja nianze kuwafuatilia. nakushauri uhame haraka kijana maana nikikukamata....
 
Vassiline na K-Y ni vitu muhimu sana kwenye maisha yako kuanzia sasa maana mumewe akikumata muombe tu atumie ivyo vitendea kazi ili asikuache na michubuko.
Ivi kabisa unadiriki kupanga kumzini mke wa mtu aiseeeee.
Ahahahah

Haiwezi kuwa hivyo kama unavyofikiri!

Nikupiga kisela tu na kuona mbele zaidi
 
Kikongwe huyo itakuwa mashavu yake yamelegea sana!Achana na vikongwe ambavyo ladha imekwisha
Ng'ombe hazeeki maini!
kwa muonekano na dalili zile itakua yupo vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…