Ruhazwe JR
JF-Expert Member
- Jan 31, 2011
- 3,402
- 944
Mie nimependa alipotoa tusi la kilugha sentensi ya mwisho. NYAKUNDO,
mods piga ban huyu mutu.
mkuu kwanza jina la id yake unajua maana yake.kweli jf tunavamiwa kila siku
Mie nimependa alipotoa tusi la kilugha sentensi ya mwisho. NYAKUNDO,
mods piga ban huyu mutu.
kwani akisema "ndiyo" inatosha kwako kujua anajua maana yake? Acha kutukana kaka tena watu wazima hata kama inawezekana mhusika hayupo jf. Neno uliloliandika ni tusi baya, kwa mtu aliyelelewa vyema si busara kutafsiri jf hilo tusi. Hata hivyo, unapaswa kujua jf, inasomwa na makabila yote tanzania including ya neno ulilomtukana mwenye nyumba wako.
acha unafiki
studies have shown that the environment in which an individual grew up, has a strong linkage with his/her social behaviour later in life!
Sasa sisi tufanyeje?hapa sio FB mzee umeshiba tu dona bila details unaanzisha mada zisizo kuwa na mashiko
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Mie nimependa alipotoa tusi la kilugha sentensi ya mwisho. NYAKUNDO,
mods piga ban huyu mutu.