Mama mmoja baba tofauti! Vs Baba mmoja mama tofauti!!!

Rich Dad

JF-Expert Member
Dec 15, 2010
748
133
unalionaje hii?

  1. Mama mmoja baba tofauti
Kwa mfano mama anakuwa na watoto wa 5 kila mmoja na baba yake, na hakuna hata mmoja ambaye ni deceased. Wote wako hai, na mwanamama huyo anawajengea picha watoto wake wawaone baba zao ni wakatili sana ...na walitelekezwa.

  1. Baba mmoja mama tofauti
Baba anakuwa na watoto zaidi ya watano na kila mmoja na mama yake. Baba anawajengea picha wanawe ku-justify u-player wake kwamba wanawake walikuwa hawatulii nae na ndo maana akafanya huo mchezo.

Yote ni mambo mabaya sana kwa future ya watoto, matatizo ni sehemu ya maisha. ukishaamua kutulia na mwenzio ni kujitahidi kwa kila hali kuzuia kutengana na kuharibu maisha ya watoto wenu.

Swali:
Je, mtu yupi kati ya hao unaona anaheshimika na jamii inayomzunguka? baba mwenye watoto tofautitofauti na wanawake wengi nje?? au mama mwenye watoto na wanaume tofautitofauti?
 
hapa hata sielewi nini kinaongelewa

Kati ya mwanamke aliyezaa na mwanaume zaidi ya mmoja mfululizo ( kama watoto 6), na mwanaume aliyezaa na wanawake tofauti tofauti yupi anakuwa na heshima katika jamii inayomzunguka??
 
unalionaje hii?

  1. Mama mmoja baba tofauti
Kwa mfano mama anakuwa na watoto wa 5 kila mmoja na baba yake, na hakuna hata mmoja ambaye ni deceased. Wote wako hai, na mwanamama huyo anawajengea picha watoto wake wawaone baba zao ni wakatili sana ...na walitelekezwa.

  1. Baba mmoja mama tofauti
Baba anakuwa na watoto zaidi ya watano na kila mmoja na mama yake. Baba anawajengea picha wanawe ku-justify u-player wake kwamba wanawake walikuwa hawatulii nae na ndo maana akafanya huo mchezo.

Yote ni mambo mabaya sana kwa future ya watoto, matatizo ni sehemu ya maisha. ukishaamua kutulia na mwenzio ni kujitahidi kwa kila hali kuzuia kutengana na kuharibu maisha ya watoto wenu.

Swali:
Je, mtu yupi kati ya hao unaona anaheshimika na jamii inayomzunguka? baba mwenye watoto tofautitofauti na wanawake wengi nje?? au mama mwenye watoto na wanaume tofautitofauti?

Hakuna anayeheshimika hapo! woooteee Vicheche tu! ila kwa wale wanaofikiria mfumo dume watafikiri mwanaume!
 
siyo mpuuzi inawezekana mwanaume kuwa na watotot hadi 5 na zaidi pale tu unapo du akapata mimba then mkaachana ukapate demu mwingine ukadu akapata mimba nk

Je, mwanaume wa dizaini hiyo anakuwa na vision? kama vile kuangalia mahitaji muhimu ya watoto siku za usoni??
 
kwani heshima ya mtu inaangalia umezaa na wanaume wangapi?

Ndio, ukiwa umezaa na watu tofauti tofauti bila sababu ya kueleweka inaleta tafsiri ya umalaya! Hayo ni mawazo yangu, sijui wewe unalionaje hilo?
 
kwan ww baba na mama yako yupi anaheshimika katika jamii?
 
Na wale wanaokuwa Baba mmoja na Mama mmoja lakini wakipima DNA wote ni baba tofauti inakuwaje? Duhhh!
 
Ndio, ukiwa umezaa na watu tofauti tofauti bila sababu ya kueleweka inaleta tafsiri ya umalaya! Hayo ni mawazo yangu, sijui wewe unalionaje hilo?

mawazo yangu pia.
Tena umalaya kwa pande zote mbili maana watu humu hawachelewi kusema ni kwa wanawake tu.
Umezaa wa kwanza, wa pili, wa tatu bado tu husomi alama za nyakati wala hujui kama usiku ushaingia!!
 
Back
Top Bottom