The Donchop
JF-Expert Member
- Jan 10, 2014
- 294
- 376
nlijua ntakuwa wa kwanza kurply kumbe ushawahi siti yakoPole sana mkuu kwa yaliyokukuta
Hahaha umechelewa kidogo tu,lakini reply tu nafasi iponlijua ntakuwa wa kwanza kurply kumbe ushawahi siti yako
...pt noted!Mama Mkwe
baba mkwe
mashemeji
ni watu wa kuwaweka mbali kiaina
hutakiwi kuwa nao close....sababu unaweza shindwa namna ya kuwatazama usoni
mkishindwana na mtu wako
Mama anaonekana kujua ugomvi uliotokea. Na anapoelekea ni kuturudisha kuwa pamoja.wewe umemueleza huyo mama kilichotokea ? usikimbie wema na heshima hata kama huna mategemeo na binti wake. nikumueleza ukweli kuwa binti alikubwaga na wewe umeisha sahau na huna nia ya kurudi tena na muishi kwa he wema na heshima kama ilivyokua.
mleeeee tu au mtongozeee .. We utakuwaje karibu na Mama Mkwe ilihali Mtoto wake hakutakiHabarini ndugu zangu.
Baada ya miaka mitatu ya mahusiano, mwezi wa nne mwenzangu alinimwaga bila sababu. Nilimuheshimu, nilimjali, nilimsupport kwa mambo yake nk. Aliniambia kanichoka na upendo tena haupo hivyo nimwache akatafute upendo mahala pengine.
Ilikuwa ngumu kukubali ukuzingatia home kwao kote nilijulikana ingawa haikuwa rasmi na kitendo hicho kilimfanya mama mkwe awe karibu sana na mimi.
Mimi sina wazazi. Mama mkwe amekuwa karibu yangu kiasi cha kuogopa nitamlipa nini. Nikiumwa yupo muda wote, nikipata shida yeye ni wa kwanza kunisaidia. Amekuwa rafiki sana kwangu kiasi cha kujua ninapopata shida hata kama sijaongea.
Of course anajua juu ya relationship yetu na hata tulipogombana anajua. Sasa kinachonipa mawazo, Jana nilikua napiga nae story. Sielewi mada za ndoa zilikujaje ndipo nikaropoka kuwa mimi natafuta Pesa na wala sitaki ndoa.
Mama mkwe hakukubaliana na Mimi na maneno aliyokuwa akiongea ni kama vile anataka kunirudisha kwa mtoto wake tuliyetoka kugombana naye toka mwezi wa NNE.
Binafsi nafikiria kumkimbia huyu mama mkwe, nikijaribu kuzima simu anakuja hadi home.
Sijui nifanyeje kumkimbia huyu mama bandugu maaana naona ataturudisha kule tulipotoka.
Msaada tafadhali.
Ahahahahaha Binti huyo wewewewe umemueleza huyo mama kilichotokea ? usikimbie wema na heshima hata kama huna mategemeo na binti wake. nikumueleza ukweli kuwa binti alikubwaga na wewe umeisha sahau na huna nia ya kurudi tena na muishi kwa he wema na heshima kama ilivyokua.
Ndio maana huwa sitaki ukaribu na upande wa pili kama uhusiano wenyewe haueleweki. Tutafahamiana ikitokea uhusiano una future, tena siku ya utambulisho maalumu.
Jirani haujambo?Wacha weee
Jirani haujambo?