Mkare_wenu
JF-Expert Member
- Mar 11, 2011
- 1,714
- 448
Hii ni picha ya mpenz wangu tuliyeweka malengo ya kufunga ndoa,cha ajabu nimempeleka nyumban kwa wakwe kumtambulisha mama kakataa katakata.wanaJf mnanishaurije...
Hata ningekuwa mimi ningekubania.
Duh..!demu mzuri hivyo wanamkataa,mimi nakushauri umuoe kwa nguvu jombaa
Ndo Mumeo mtarajiwa? Mbona yuko pouwa tu Mkuu?
Duuuuuuh! Nimepitia mtaa huu kwa bahati mbaya! Kumradhi!
Kitu cha ukweli ,chukua ngoma kaka
hao wajukuu wangekuaje? bora amekataa!
wife mtarajiwa