relax sweeetie!
relaaax !
sio isssue kuuubwa kiiiihvyo!
usiniumizie mamdogo bure !
relaaax!
sawa?
na hubbie akija wala usinune!
kwanza mara ya mwisho umeongeza njia lini?(nizoee tu ndo akili yangu ilivyo nikiwa naongea pwenti):wink:
af nilikuwa najiuliza hizi akili nimerithi waaapi!Unataka akuoneshe scar??
Babu DC!!
af nilikuwa najiuliza hizi akili nimerithi waaapi!
ahahahahhaa shikamoo babu!nimekumiss ujue
Mjukuu DC
Wewe sikuwezi.....
Kila unachoambiwa uache, ndo kwanza unakimbizana nacho...
Shauri yako...kama hukutosheka na jinai ya mtuhumiwa wetu, basi itafute nyingine...
Babu DC!!
Jina anaitwa Sweet Husband, hivyo sikutegemea husband ambaye si bitter awe na mimba. Angalijiita Sweet Wife hapo mambo shegaMwenzio naonaga aibu,hata mama simwambiagi moja kwa moja,najipelekaga pelekaga ili wanione basi, .....
Ujumbe wangu ulihusu:Jina anaitwa Sweet Husband, hivyo sikutegemea husband ambaye si bitter awe na mimba. Angalijiita Sweet Wife hapo mambo shega