Mama mkwe huyu anaweza kuharibu ndoa ya Mwanawe wa kike. Suluhisho ni nini?

Huu ushauri nimeupenda tena ikiwezekana abebe TV ajidai imeharibika apeleke kwa fundi (kumbe ameenda kuipaki sehemu) ili usiku wake akiwa anagegeda mama mkwe asiweze kuzuga kuongeza sauti ya TV asikilize milio ya binti yake vizuri.
 
...kama anamuonea aibu mama mkwe au kama mama mkwe nae kibati kichwani kimecheza..afanye hivi.

Kama pesa kidogo zipo, watafute chumba hata kimoja mtaa mwengine, wawe wanatumia muda wao mwingi kwenye hicho chumba cha kupanga na kulala huko...mama mkwe kuna picha itamjia tuuh na kujistukia.

Au siku mojamoja wakati wa usiku wawe wanaenda kulala lodge/guest....pia kuna picha itamjia mama mkwe.

Kwenye maisha sometimes inabidi uwe kauzu kidogo ulokole unauweka pembeni....kama yule mzazi wa jamaa aliewapeleka wageni kulala Kwenye vitanda vya wagonjwa hospital..πŸ˜ƒπŸ˜…
 
Huu ushauli nimeupenda Tena ikiwezekana abebe TV ajidai imeharibika apeleke kwa fundi (kumbe ameenda kuipaki sehemu) ili usiku wake akiwa anagegeda mama mkwe asiweze kuzuga kuongeza sauti ya TV asikilize milio ya binti yake vizuri.
Binti akiwa hayupo comfortable sababu mama yao anasikia unafikiri atampa uchi? We huwajui hao watu kwa misimamo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mimi naona huyo mwanaume afunguke kwa mkewe.. Kama mkewe ana akili atakaa chini na mama yake na kumueleza hali halisi.

Wenzetu wanawezaje.. sisi wa Ruvuma mkwe kukaa kwa mwanae na mume yupo ni tusi kubwa sana unless kuwe na sababu maalum.
 
Jamaa aaache ujinga kama anaweza hudumia watu 7 anashindwa nini kurekebisha ama kununua kitanda kipya.
Afanye kununua kipya, gemu ziendelee bila wao kusikia
 


Mshauri jamaa apige mke wake mambo usiku kucha mama mkwe ataondoka mwenyewe tu bila kuaga
 
Haya ndo maamuzi ya kiume...sio kukaa kuwaza waza tu...ujipatie vidonda vya tumbo bure .. .roho ngumu hapo inahitajika
 
Mshauri jamaa apige mke wake mambo usiku kucha mama mkwe ataondoka mwenyewe tu bila kuaga
Sawa, sasa si unajua kupiga show lazma baada ya bao watu watoke wakanawe bafuni na wapite sebuleni, mama mkwe yupo anaangalia TV, sasa itakuwaje mzee baba anapita na bukta , dushe limesimama anakwenda kunawa then atamsalimia mama mkwe ama itakuwaje, hebu endelea kushauri hapo.
 
Atapita siku moja tu kesho yake mama mkwe atakimbia hawezi kukaaa dawa ya jeuri kiburi tu
 
Naomba hiyo comment tafadhali, uliyoshindwa kutuma.
Ndoa ya rafiki yangu tulisoma naye na wote tukapata ajira Mahakamani mwanzoni mwa 2000 kwa sasa yeye ni msajili mahakama kuu ila kituo sitasema.

Sawa, lakini Cha msingi hapo ni kwamba hiyo hali haipendi, na kwa kuwa hapendezwi nayo, inabidi achukue hatua za kuweka mambo sawa.

Anaweza kumweleza mama yake kwamba yeye anataka nini, in such mama arudi kwake na kwamba atamuhudumia kwa kila kitu yaani kiufupi atafute sababu nzuri ambayo haitamuumiza Sana huyo mama. Anaweza akamwambia anataka kupaka nyumba rangi kwa hiyo wapishe kwanza na akija kutaka kurudi ampe sababu nyingine had achoke.

Njia za diplomacy zikishindikana basi, kwa kuwa anataka watoke anaweza Sasa kutumia ukali japo inataka moyo sana ukizingatia kwamba huyo ni mama mzazi.

Ninajua hakuna linaloshindikana.

Cha msingi amuambie, na pia hapo ugomvi ni lazima uwepo au malalamiko fulan. Yaani anaweza akapata lawama za kudumu maisha yote maana wanadamu hawaridhiki na ukiwaridhisha umekwisha. Hutofanikiwa!
 
Haya ndo maamuzi ya kiume...sio kukaa kuwaza waza tu...ujipatie vidonda vya tumbo bure .. .roho ngumu hapo inahitajika
Yani wala sio swala la kujiuliza mara 2! Ukiwa legelege familia inakushinda.

Watu wa Mbeya wana ule ujinga kuwa mtu mzima hatakiwi kuhojiwa akiwa dada basi ata afanye upumbavu gani utaskia..."Ndio dada kasema"..."Ndio kaka kasema hivyo" hata kama kasema kitu ambacho haki make sense wao huwa hawapingi analosema mkubwa ndio kama sheriaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ na wana umoja kweli katika familia.

Huu ujinga i find it odd hapo huyo mama mkwe mwanae hawezi mwambia kitu sababu atamtishia laana. Sasa cha kufanya ni kutimua wote tu na unaweza shangaa mke yupo radhi kuachika ila sio kumfukuza mama yake yeye abakie πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ bora waondoke wote. Hio ndio mentality ya watu wa Mbeya.
 


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…